We kweli kiazi Mbezi mwisho,Mbezi beach,mwananyamala,Kigamboni,Kijichi,Temeke kote Kuna maghorofa embu acha ushamba.Wewe ni kichaa? Ni wapi Dar maghorofa yanapatikana ukitoa cbd, kijitonyama na Upanga? Hebu nipe picha kama hii ya eneo la kawaida wanapoishi watu hapo Dar ndio tujue jiji lipi lina maghorofa mengi View attachment 2538114View attachment 2538116View attachment 2538119View attachment 2538120View attachment 2538121View attachment 2538122
Nakubali Nairobi ipo mbele ya Dar Ila Dar sio jiji la nyuma kiasi hicho na marekebisho yanafanyika ktk jiji la dar Kama haujui.