Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
All the city surrounded with slums, inastaajabisha sana.Nenda katukane takwimu kama cnn walivosema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the city surrounded with slums, inastaajabisha sana.Nenda katukane takwimu kama cnn walivosema
It's was 60s,kwa sasa, wakenya ndiyo wanaokuja kushangaa Tanzania.Kama Nyerere alisema hayo basi alisema hapo kabla ya mwaka 1990, kwa sasa huenda Ruto akasema hivi "Kama unataka kuona maghorofa marefu, makubwa na mazuri basi usipoteze nauli yako kwenda Ulaya, wewe nenda Dar"
What is my point?
Kama ubora wa jiji utapimwa kwa maghorofa, basi kwa sasa Nairobi haiwezi kuifikia Dar hata chembe. Kwa kifupi sana, kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati, huenda Dar imejengeka zaidi kwa maghorofa kuliko majiji mengine.
Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Utakuwa umepata jibuDar es Salaam (/ˌdɑːr ɛs səˈlɑːm/; from Arabic: دَار السَّلَام, romanized: Dâr es-Selâm, lit. 'Abode of Peace') or commonly known as Dar, is the largest city and financial hub of Tanzania. It is also the capital of Dar es Salaam Region. With a population of over six million people, Dar is the largest city in East Africa and the seventh-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic centre and is one of the fastest-growing cities in the world.[2]
Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Sawa Kenya watalii ni wengi, je kati ya Kenya na Tz nani anapiga pesa nyingi kwenye utalii?Ni ukweli usiopingika labda tu lugha za kizalendo za kujipoza maumivu.
1. Taasisi nyingi za kimataifa. Ofisi zake ziko Nairobi kwa Africa hii.
2. Anga ya Kenya, mashirika ya ndege ya kimataifa mengi sana. Na usafiri ni mwingi pia.
3. Huduma za kitabibu pia wako vizuri japo gharama ni kubwa sana kulinganisha nasi.
4. Watalii ni wengi zaidi kulinganisha na hapa nyumbani.
Yote haya yaliletelezwa na sera tuliokuwa tukiifua ya ujamaa. Ambayo haikubaliki ktk ulimwengu wa magharibi.
Mwisho mji wetu/miji yetu miundombinu yake uswahili mwingi sana.
Hata mtumba grade 1 ni from Nairobi
kigali kuna uzuli gani?milima labdaKidogo Kigali pia iko poa
USSR
mji wa kigali moro mkubwaTena wewe ndo fala kabisa Kigali ambayo iko confined sehemu moja, bunge hapo ikulu hapo hapo, ofisi za wizara hapo hapo yani hata sio robo ya Dar, au kwasbb mnasikia kwamba ni safi, ila uliza ina watu wangapi kwanza ndo ulinganishe na Dar.
Mimi nimeishi Nairobi kwa miezi 4 nimetembea sana Jiji la Nairobi Dar es Salaam haifiki hata nusu ya Jiji la Nairobi.Kama ulishawahi kuishi uko sema ulishi sehemu gani, ili niongee na mtu anae jua mji husika
Jaribu pia kuangalia majiji ya Afrika yenye slums za kutisha kama hautaikuta hiyo Nairobi yako.Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta Nairobi tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni Nairobi tu.
Tukubali ukweli Nairobi ni jiji
Kwa hiyo na wewe unaamini hivyo?Kuna chombo fulani cha habari cha marekani chenyewe kiliripoti habari fulani kikiita dar ni kijiji cha wavuvi kilichopo mashariki pwani ya afrika mashariki. Labda waliilinganisha na jiji lao lao new york wakaona dar ni kijiji, wana dharau sana wamarekani wale