Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Wewe Jiji gani 80% ni uswazi na madanguro? Tupu?Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Sasa wewe hadi sahii bado unashindana na Nairobi? Dar es Salaam bado ni jiji dogo sana.Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
So what?Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Kidogo Kigali pia iko poaKila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Nna uhakika wa 90% hujawahi kuishi Nairobi unaiona tu kwenye picha tu kama unabisha ilikuwa unaishi sehemu gani? Na ulikuwa unapanda gari number ngapi? Kujibu hilo ndo ntaanza kuelewesha uzuri wa Dar vs NairobiKila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Tena wewe ndo fala kabisa Kigali ambayo iko confined sehemu moja, bunge hapo ikulu hapo hapo, ofisi za wizara hapo hapo yani hata sio robo ya Dar, au kwasbb mnasikia kwamba ni safi, ila uliza ina watu wangapi kwanza ndo ulinganishe na Dar.Kidogo Kigari pia iko poa
USSR
Kama hujawahi kufika na kuishi Nairobi Kampala Kigali na Mombasa naomba unyameza, hamjui mnachoongelea mko kwenye hearsayTatizo la DSM ni miundo mbinu , mji Una majengo mengi Ila miundo mbinu inatia was was Sana , wazungu wanaangalia facilities sio ukubwa wa mji ...!!!
Ni ukweli usiopingika labda tu lugha za kizalendo za kujipoza maumivu.Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
RUBBISH TOPIC OF 2022.Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Ndugu ulishawahi kufika Nairobi au huwa unaisikia au kuambiwa?Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Wengi hawajafika wakaona jinsi Nairobi ilivyo kenge!Ndugu ulishawahi kufika Nairobi au huwa unaisikia au kuambiwa?
Njoo Nairobi nikuonyeshe uchafu, umaskini, uhalifu na ujinga mkubwa na uliotapakaa ambao hujawahi kuuona au kuusikia popote duniani.
Hakuna jiji bovu, baya na la kipuuzi kama Nairobi kwa ukanda huu.
Kama ulishawahi kuishi uko sema ulishi sehemu gani, ili niongee na mtu anae jua mji husikaWe fala nn, nan ameongelea hyo miji uliyotaja , utawehuka ww
Sawa, kijiji chenye wavuvi milioni 8, ukiacha Dar kuna kijiji au hata jiji la hivyo?Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.
Tukubari ukweli nairob ni jiji
Nenda katukane takwimu kama cnn walivosemaRUBBISH TOPIC OF 2022.
Kama Nyerere alisema hayo basi alisema hapo kabla ya mwaka 1990, kwa sasa huenda Ruto akasema hivi "Kama unataka kuona maghorofa marefu, makubwa na mazuri basi usipoteze nauli yako kwenda Ulaya, wewe nenda Dar"Baba wa taifa alisema, ukitaka kushangaa magorofa sio lazima uende Ulaya, nenda tu hapo Nairobi.