Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

It's was 60s,kwa sasa, wakenya ndiyo wanaokuja kushangaa Tanzania.
 
Dar ni Jiji la hovyo Sana Sana tuache utani!!!
Pia asilimia kubwa ya watu Wana kipato duni Sana Sana !Yan dar watu wamechoka Sana wengi hawana vipato ni madalali mision taun tupu!!
Mji upo squatters sehemu kubwa Sana
Usafiri ni mbovu jamani!?
Mji mchafu Sana Sana
 
Kila nikiangalia africa mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta nairob tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni nairob tu.

Tukubari ukweli nairob ni jiji

Dar es Salaam (/ˌdɑːr ɛs səˈlɑːm/; from Arabic: دَار السَّلَام, romanized: Dâr es-Selâm, lit. 'Abode of Peace') or commonly known as Dar, is the largest city and financial hub of Tanzania. It is also the capital of Dar es Salaam Region. With a population of over six million people, Dar is the largest city in East Africa and the seventh-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic centre and is one of the fastest-growing cities in the world.[2]
 
Utakuwa umepata jibu
 
Hold on..! Sisi wa mikoani huu ushuzi wenu unatuhusu?
 
Sawa Kenya watalii ni wengi, je kati ya Kenya na Tz nani anapiga pesa nyingi kwenye utalii?
 
Kuna chombo fulani cha habari cha marekani chenyewe kiliripoti habari fulani kikiita dar ni kijiji cha wavuvi kilichopo mashariki pwani ya afrika mashariki. Labda waliilinganisha na jiji lao lao new york wakaona dar ni kijiji, wana dharau sana wamarekani wale
 
Kuna chombo fulani cha habari cha marekani chenyewe kiliripoti habari fulani kikiita dar ni kijiji cha wavuvi kilichopo mashariki pwani ya afrika mashariki. Labda waliilinganisha na jiji lao lao new york wakaona dar ni kijiji, wana dharau sana wamarekani wale
 
Tena wewe ndo fala kabisa Kigali ambayo iko confined sehemu moja, bunge hapo ikulu hapo hapo, ofisi za wizara hapo hapo yani hata sio robo ya Dar, au kwasbb mnasikia kwamba ni safi, ila uliza ina watu wangapi kwanza ndo ulinganishe na Dar.
mji wa kigali moro mkubwa
 
Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta Nairobi tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni Nairobi tu.

Tukubali ukweli Nairobi ni jiji
Jaribu pia kuangalia majiji ya Afrika yenye slums za kutisha kama hautaikuta hiyo Nairobi yako.
 
Kwa hiyo na wewe unaamini hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…