Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

Huyo fara Nairobi anavyosema anaiangalia ni kwakupitia google maps.

Mwambie aende Mathare au Kibera.
 
Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji na kuta Nairobi tu.
Kila nikiangalia usafiri wa ndege nyingi ni Nairobi tu.

Tukubali ukweli Nairobi ni jiji

kama usafiri wa anga ndio kipimo Chako kwanini isiwe Adis Ababa. ?
 
Wewe utakuwa ni mpuuzi kama kweli unaamini Dar ni kijiji cha wavuvi eti tu kwa sababu "chombo fulani cha habari cha Marekani" kimeripoti hivyo.

Asiyesoma magazeti, kusikiliza redio na kutazama tv ni mjinga, lakini anayesoma magazeti, kusikiliza redio na kutazama tv ni mjinga hata zaidi. "quoted from the one I don't remember".
CC: LOTH HEMA
 
Hivi ni kweli jiji la dar unaweza kulilinganisha na majiji ya washington na new york? Wamarekani wakiita dar ni kijiji wako sahihi nasi tukingilinganisha na hayo majiji yao tunaona tuko kijijini
 
Mh!,thamani ya jiji sio majengo marefu tu,pia idadi ya watu ndugu
pengine labda hujaelewa. hebu rudia kusoma hapa Chini πŸ‘‡
 
Wewe ni kichaa? Ni wapi Dar maghorofa yanapatikana ukitoa cbd, kijitonyama na Upanga? Hebu nipe picha kama hii ya eneo la kawaida wanapoishi watu hapo Dar ndio tujue jiji lipi lina maghorofa mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…