Kila nikiangalia Afrika Mashariki sehemu mbalimbali za majiji nakuta Nairobi tu

We kweli kiazi Mbezi mwisho,Mbezi beach,mwananyamala,Kigamboni,Kijichi,Temeke kote Kuna maghorofa embu acha ushamba.
Nakubali Nairobi ipo mbele ya Dar Ila Dar sio jiji la nyuma kiasi hicho na marekebisho yanafanyika ktk jiji la dar Kama haujui.
 
Mjinga ni wewe, jichunguze tu vzr dada utajua kua unahitaji mume ili akili itulie
kajamba ajambe mwengine kujisaidia ujisaidie wewe.sasa umeshindwa nini kutoa fact ya kumsaidia mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…