1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
-
- #261
mkuu jilazimishe ili hata ukivaa suti itulie mahala pakeKumbe unamaliza adi week mbili!? Mimi week tu sitoboi, na huu mwili nlio nae haviendani na umri kabisa, natamani sana kufanya mazoezi ila sasa kufanya kila siku ndo siwezi
umeona sasa [emoji23]Hahahahaaa macho yakiona yanapeleka ujumbe kwenye moyo! Zoezi linaweza badilika ikawa zoeeeeziiiiiii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zanguKwa kawaida ukiwa mwanamazoezi hamu ya ku do sio kama inakatika, kinachotokea ile mihemko isiyokua na mpangilio ndio inadhibitiwa, sasa siku ya kupiga game ndio utajua kua mazoezi yanasaidia maana performance ya majambo itaongezeka kwa kila hali na sasa shemeji kwa furaha yake ndio atakua mtu wa kwanza kukuhimiza uwe unawahi mazoezini
hata mm brazil siipendi, nliipenda world cup ya 98 tu, baada ya kunyukwa na france nikaona kumbe hamna kitu[emoji23] [emoji23] samahani team brazilNa sijui kwanini huipendi Brazil wakati mnavaliana jezi!
Mkibaki nyuma mtaingia uvivu Hajar na safari itakua fupi kwa kuchoka haraka, basi labda tukimbie sambambaππHahahaaaa. Lol. Eti "zoeeeziiiii"
Na kweli hivyo mutanguliage tu sisi tubaki nyuma nyuma. [emoji85] [emoji85]
Tunapata taabu sanaumeona sasa [emoji23]
tatizo muda mkuu, hako kamlima ni kafupi sana ni km mita 30, so round 5 ni ndan ya dk 10 tuu nshalowa jasho, namalzia push up 50 na kunyoosha viungo dk 10 zngne nmemalizaAnza kukimbia taratibu sehemu tambarare mkuu, ukianza kwenye hako kamlima ni rahisi kuchoka haraka na utajikuta tu mazoezi yanaku bore halafu unaacha
Moyo moyo Sesten usicheze na moyo kabisaaa yaani unachokitaka hicho hicho ndio inapaswa upewe na sio kuukatili.Na sijui kwanini huipendi Brazil wakati mnavaliana jezi!
Ile 1998 hata kazini sikwenda Jumatatu yake hasa ukizingatia chma lilikua limekamilika likiwa na El phenomena Ronaldo original, kina R. Carlos, Cafu, Rivaldo n.k Zidane akatuchinjia baharini kama hatujui vilehata mm brazil siipendi, nliipenda world cup ya 98 tu, baada ya kunyukwa na france nikaona kumbe hamna kitu[emoji23] [emoji23] samahani team brazil
Duuh! Sesten hii ni zaidi ya kufunguka lol.Kwa kawaida ukiwa mwanamazoezi hamu ya ku do sio kama inakatika, kinachotokea ile mihemko isiyokua na mpangilio ndio inadhibitiwa, sasa siku ya kupiga game ndio utajua kua mazoezi yanasaidia maana performance ya majambo itaongezeka kwa kila hali na sasa shemeji kwa furaha yake ndio atakua mtu wa kwanza kukuhimiza uwe unawahi mazoezini
Basi ni vema ukaendelea bila kuingia uvivu ukakatisha tena mkuutatizo muda mkuu, hako kamlima ni kafupi sana ni km mita 30, so round 5 ni ndan ya dk 10 tuu nshalowa jasho, namalzia push up 50 na kunyoosha viungo dk 10 zngne nmemaliza
Hahahahaaaa. Lol.hata mm brazil siipendi, nliipenda world cup ya 98 tu, baada ya kunyukwa na france nikaona kumbe hamna kitu[emoji23] [emoji23] samahani team brazil
Ngoja nikubaliane na wewe Hajar maana huu moyo huu! Kwakweli hua siulewagi saa zingine! Haya upe moyo wako ile kitu unapendaMoyo moyo Sesten usicheze na moyo kabisaaa yaani unachokitaka hicho hicho ndio inapaswa upewe na sio kuukatili.
Hivyo Brazil Hapana. Hahahaaaa.
Tengeneza timetable ya wiki ... mfano mi huwa nafanya hivi ....Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?
MAZOEZI NI AFYA
sawa mkuuKama ikiwa kama sehem ya maisha yako bas huwez kuacha. Mfano hawa jamaa wa bodybuilding. Mtu mpaka anafikia kuwa vile ni kwamba kafanya mazoez si chin ya miaka 5 na wengine wanafika mpka miaka 20+. Ila kama una moyo wa dhat huwez kuacha. Yaan ukipenda tu mazoez bas
safiii mkuutatizo muda mkuu, hako kamlima ni kafupi sana ni km mita 30, so round 5 ni ndan ya dk 10 tuu nshalowa jasho, namalzia push up 50 na kunyoosha viungo dk 10 zngne nmemaliza
siku ile hawakuwa na bahati, walicheza sana zile anao anaoIle 1998 hata kazini sikwenda Jumatatu yake hasa ukizingatia chma lilikua limekamilika likiwa na El phenomena Ronaldo original, kina R. Carlos, Cafu, Rivaldo n.k Zidane akatuchinjia baharini kama hatujui vile
Nilikwambia Hajar mazoezi ni muhimu sana hasa kwa wanaume, kuzuia mihemko na kuongeza 'utendaji'Duuh! Sesten hii ni zaidi ya kufunguka lol.
Haya fanyeni mazoezi jamaani. [emoji85] [emoji85]
Ewaaaaa hapo sawa kabisaaaaaa.Mkibaki nyuma mtaingia uvivu Hajar na safari itakua fupi kwa kuchoka haraka, basi labda tukimbie sambambaππ
Ewaaaaa hapo sawa kabisaaaaaa.Mkibaki nyuma mtaingia uvivu Hajar na safari itakua fupi kwa kuchoka haraka, basi labda tukimbie sambambaππ