Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kumbe unamaliza adi week mbili!? Mimi week tu sitoboi, na huu mwili nlio nae haviendani na umri kabisa, natamani sana kufanya mazoezi ila sasa kufanya kila siku ndo siwezi
mkuu jilazimishe ili hata ukivaa suti itulie mahala pake
 
Kwa kawaida ukiwa mwanamazoezi hamu ya ku do sio kama inakatika, kinachotokea ile mihemko isiyokua na mpangilio ndio inadhibitiwa, sasa siku ya kupiga game ndio utajua kua mazoezi yanasaidia maana performance ya majambo itaongezeka kwa kila hali na sasa shemeji kwa furaha yake ndio atakua mtu wa kwanza kukuhimiza uwe unawahi mazoezini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu
 
Hahahaaaa. Lol. Eti "zoeeeziiiii"

Na kweli hivyo mutanguliage tu sisi tubaki nyuma nyuma. [emoji85] [emoji85]
Mkibaki nyuma mtaingia uvivu Hajar na safari itakua fupi kwa kuchoka haraka, basi labda tukimbie sambamba🙄😎
 
Anza kukimbia taratibu sehemu tambarare mkuu, ukianza kwenye hako kamlima ni rahisi kuchoka haraka na utajikuta tu mazoezi yanaku bore halafu unaacha
tatizo muda mkuu, hako kamlima ni kafupi sana ni km mita 30, so round 5 ni ndan ya dk 10 tuu nshalowa jasho, namalzia push up 50 na kunyoosha viungo dk 10 zngne nmemaliza
 
hata mm brazil siipendi, nliipenda world cup ya 98 tu, baada ya kunyukwa na france nikaona kumbe hamna kitu[emoji23] [emoji23] samahani team brazil
Ile 1998 hata kazini sikwenda Jumatatu yake hasa ukizingatia chma lilikua limekamilika likiwa na El phenomena Ronaldo original, kina R. Carlos, Cafu, Rivaldo n.k Zidane akatuchinjia baharini kama hatujui vile
 
Kwa kawaida ukiwa mwanamazoezi hamu ya ku do sio kama inakatika, kinachotokea ile mihemko isiyokua na mpangilio ndio inadhibitiwa, sasa siku ya kupiga game ndio utajua kua mazoezi yanasaidia maana performance ya majambo itaongezeka kwa kila hali na sasa shemeji kwa furaha yake ndio atakua mtu wa kwanza kukuhimiza uwe unawahi mazoezini
Duuh! Sesten hii ni zaidi ya kufunguka lol.

Haya fanyeni mazoezi jamaani. [emoji85] [emoji85]
 
hata mm brazil siipendi, nliipenda world cup ya 98 tu, baada ya kunyukwa na france nikaona kumbe hamna kitu[emoji23] [emoji23] samahani team brazil
Hahahahaaaa. Lol.

Wanajiitaga wazee wa Samba mie nasema hamna cha samba wala nini zaidi ya kukimbia kimbia tu.

Atusamehe kwa kweli Team Brazil sababu nimechomelea msumari wa moto.
 
Moyo moyo Sesten usicheze na moyo kabisaaa yaani unachokitaka hicho hicho ndio inapaswa upewe na sio kuukatili.

Hivyo Brazil Hapana. Hahahaaaa.
Ngoja nikubaliane na wewe Hajar maana huu moyo huu! Kwakweli hua siulewagi saa zingine! Haya upe moyo wako ile kitu unapenda
 
Wazoefu mnipe kautaratibu inakuaje mna dumu kufanya mazoezi mwaka mzima bila kuacha? au mnatumia mbinu gani?

MAZOEZI NI AFYA
Tengeneza timetable ya wiki ... mfano mi huwa nafanya hivi ....
Jumatatu nafanya tahajudi alfajili ... jioni nafanya matembezi / kukimbia
Jumanne - mazoezi ya sehemu moja ..push-up alfajili - jioni matembezi / kukimbia
Jumatano tahajudi ... jioni tahajudi
Alhamisi mazoezi ya kuruka kamba asubuhi na jioni
Ijumaa mazoezi ya sehemu moja - jioni matembezi
Jumamosi ... napumzika
Jumapili ... napumzika.
Sikuwahi kunenepa ... niko kama kawaida .. uzito hauongezeki naumudu mwili wangu.
 
Kama ikiwa kama sehem ya maisha yako bas huwez kuacha. Mfano hawa jamaa wa bodybuilding. Mtu mpaka anafikia kuwa vile ni kwamba kafanya mazoez si chin ya miaka 5 na wengine wanafika mpka miaka 20+. Ila kama una moyo wa dhat huwez kuacha. Yaan ukipenda tu mazoez bas
sawa mkuu
 
Back
Top Bottom