Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

1kush africa ni hivi, kutokana na jinsi ulivyoelezea inaelekea ukawa na matatizo ya joint inflammation (arthritis), chukua jukumu la kuonana na Daktari kwani ukizembea inaweza ikawa tatizo kubwa zaidi ya hapa huko mbeleni.
 
Mimi nakianza naenda vizuri napungua najiskia mwepesi kisha kizuizi kama ubize wa kazi unanishika najikuta nimeacha. Ubaya ukianza tena maumivu yanaanza upya.
 
Back
Top Bottom