bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Mchepuko hajawahi kuwa mke..! Janja yako kutaka kuninyima naniluu sitaki kabisa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo unamkana ndg yangu @Mzigua90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchepuko hajawahi kuwa mke..! Janja yako kutaka kuninyima naniluu sitaki kabisa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo unamkana ndg yangu @Mzigua90
Hebu kwanza toa ushuhuda hapa hua unauonaje mwili wako siku ambazo umefululiza kufanya mazoezi kwa mfano kama wiki nzima au siku tato hivi?Hahahaaa. Nimekuelewa sana Sesten.
Haya wacha wachukue ushauri wako nadhani utawafaa hasaaaa. Maana ka mie nlishashindwa hayo mazowezi.
Nimecheka sana mkuu, kwa hiyo kwa watu wengine msambwana hua ni tiba mujarabu kabisa?Tafuta mwanamke mwenyewe msambwanda mpenda mazoezi hakika tatizo litakwisha
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Sema sasa upatikanaji wa Kikundi hicho ndo tabuUpo sahihi kabisa Vi rendra
Ndio mkuu linavutia sana hasa pale anapovaa track iliyobana au zile taiti za kubana fupi na ndefu asee balaa. Alafu unamtanguliza mbele nawewe nyuma ebana eeeeNimecheka sana mkuu, kwa hiyo kwa watu wengine msambwana hua ni tiba mujarabu kabisa?
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ewaaaaa hayo hayo shemeji yangu ndio nayawez tena nayafanya vizuri sana
Hahahaaaa. Na huko ulikohamia jipange best sababu leo ni majonzi tena.Hahaahh.. Sijakukimbia bhn soka ndo lilivyo jamaa waliupiga mwingi sana ila bahati haikuwa yao. Now nmehamia paris kwa mkopo[emoji3][emoji3]
Kuhusu mazoezi mie pia napendaga jioni
Kudamka Asubuhi ni kazi aisee[emoji3][emoji3]
Hahahaa. Lol.Upo sahihi kabisa Vi rendra
Mitaa unayoishi hakuna kikundi Vi? Kama wewe ni mwenyeji wa maeneo hayo unayoishi waweza kuhamasisha kupitia serikali ya mtaa najua wataku support mkaanzisha, na naamini utapata muitikio mzuri wa watu maana utakuta wengi wanatamani kua na kikundi lakini kama vile wewe unavyohisi hawajui waende wapiSema sasa upatikanaji wa Kikundi hicho ndo tabu
Kwa leo hapana hatutakubali hatoki mtu leo[emoji3][emoji3]Hahahaaaa. Na huko ulikohamia jipange best sababu leo ni majonzi tena.
Umeonaeee. Huo ndio muda mzuri best.
Hahahaaa. Nakuwaga nimechangamka sana tu sana yaani. [emoji85] [emoji85]Hebu kwanza toa ushuhuda hapa hua unauonaje mwili wako siku ambazo umefululiza kufanya mazoezi kwa mfano kama wiki nzima au siku tato hivi?
Namna hiyo hata kilometa kumi au zaidi unaenda bila kuchoka na ukiendelea hivo unajikuta umekata kilo za kutosha bila kujua, hahahaaaNdio mkuu linavutia sana hasa pale anapovaa track iliyobana au zile taiti za kubana fupi na ndefu asee balaa. Alafu unamtanguliza mbele nawewe nyuma ebana eeee
Utachokaje sasa kwa mfanoHahahaa. Lol.
Hakuna kuchoka hapo Sesten.
Hahahaa. Mie nipo ujue tutaona hiyo baadae best.Kwa leo hapana hatutakubali hatoki mtu leo[emoji3][emoji3]
Ila mchezo wa leo utakua mgumu sana ni zaidi ya fainali yenyewe
Hahahaaa. Hivyo hapo hakuna kuchoka. Lol.Ndio mkuu linavutia sana hasa pale anapovaa track iliyobana au zile taiti za kubana fupi na ndefu asee balaa. Alafu unamtanguliza mbele nawewe nyuma ebana eeee
Hebu rudi hapa kwanza wee mtoto sasa unakimbia unaenda wapi au ndio unaanza mazoezi?🙂😉😀Hahahaaa. Nakuwaga nimechangamka sana tu sana yaani. [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] maswali yametosha Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Basi na mie nitakuja kujiunga kwenye hicho kikundi chenu. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Utachokaje sasa kwa mfano