Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

Kila nikianza mazoezi ya viungo baada ya wiki mbili au tatu naacha, nikijitahidi mwezi mmoja baadaye naacha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Leo unamkana ndg yangu @Mzigua90
Mchepuko hajawahi kuwa mke..! Janja yako kutaka kuninyima naniluu sitaki kabisa.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahaaa. Nimekuelewa sana Sesten.

Haya wacha wachukue ushauri wako nadhani utawafaa hasaaaa. Maana ka mie nlishashindwa hayo mazowezi.
Hebu kwanza toa ushuhuda hapa hua unauonaje mwili wako siku ambazo umefululiza kufanya mazoezi kwa mfano kama wiki nzima au siku tato hivi?
 
Watafit wanasema 80 ya watu huacha mazoezi baada ya mwez mmoja had miwili...hii husababishwa na fatiki sababu ya mabadiliko yanayatokea mwili so unakuwa unajihisi uchovu lakin ndio muda inabidi ujilazimishe ili mwili uweze ku adopt hayo mazingira so inabidi ukomae hivyo hivyo baafae itakuwa tabia.!.. Ninae kushauri hapa na mimi huwa naacha kama wewe ipa najua natakiwa nifanye nini kujisukuma kwenye mazoezi ni wito

Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
 
Unaacha kwasababu kiakili umeyachukulia kama adhabu lakini ukipatwa na tatizo na daktari akakwambia mazoezi tu ndio suluhisho la tatizo lako, utayageuza lishe na hautochoka.
 
Ewaaaaa hayo hayo shemeji yangu ndio nayawez tena nayafanya vizuri sana
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaahh.. Sijakukimbia bhn soka ndo lilivyo jamaa waliupiga mwingi sana ila bahati haikuwa yao. Now nmehamia paris kwa mkopo[emoji3][emoji3]

Kuhusu mazoezi mie pia napendaga jioni
Kudamka Asubuhi ni kazi aisee[emoji3][emoji3]
Hahahaaaa. Na huko ulikohamia jipange best sababu leo ni majonzi tena.

Umeonaeee. Huo ndio muda mzuri best.
 
Sema sasa upatikanaji wa Kikundi hicho ndo tabu
Mitaa unayoishi hakuna kikundi Vi? Kama wewe ni mwenyeji wa maeneo hayo unayoishi waweza kuhamasisha kupitia serikali ya mtaa najua wataku support mkaanzisha, na naamini utapata muitikio mzuri wa watu maana utakuta wengi wanatamani kua na kikundi lakini kama vile wewe unavyohisi hawajui waende wapi
 
Hahahaaaa. Na huko ulikohamia jipange best sababu leo ni majonzi tena.

Umeonaeee. Huo ndio muda mzuri best.
Kwa leo hapana hatutakubali hatoki mtu leo[emoji3][emoji3]
Ila mchezo wa leo utakua mgumu sana ni zaidi ya fainali yenyewe
 
Hebu kwanza toa ushuhuda hapa hua unauonaje mwili wako siku ambazo umefululiza kufanya mazoezi kwa mfano kama wiki nzima au siku tato hivi?
Hahahaaa. Nakuwaga nimechangamka sana tu sana yaani. [emoji85] [emoji85]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] maswali yametosha Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa leo hapana hatutakubali hatoki mtu leo[emoji3][emoji3]
Ila mchezo wa leo utakua mgumu sana ni zaidi ya fainali yenyewe
Hahahaa. Mie nipo ujue tutaona hiyo baadae best.

Hakika ni bonge la game japokuwa haitaingia ile ya Brazil sababu ile muda mwingi nilikuwa nashika kichwa nikijua Bra wanachomoa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio mkuu linavutia sana hasa pale anapovaa track iliyobana au zile taiti za kubana fupi na ndefu asee balaa. Alafu unamtanguliza mbele nawewe nyuma ebana eeee
Hahahaaa. Hivyo hapo hakuna kuchoka. Lol.

Nimejikuta navuta picha. Hahahaaa. Ila Wanaume nyie lol.
 
Hahahaaa. Nakuwaga nimechangamka sana tu sana yaani. [emoji85] [emoji85]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] maswali yametosha Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu rudi hapa kwanza wee mtoto sasa unakimbia unaenda wapi au ndio unaanza mazoezi?🙂😉😀
 
Back
Top Bottom