Kila nikichanga karata zangu, namuona Dkt. Bashiru akiwa kiongozi wa awamu ya saba

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.

Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za uwekezaji ambao ndio mwanzo wa kuelekea uchumi wa kati mkubwa. Hivyo ni uongozi utakaojikita kutengeneza fursa nyingi za uwekezaji ambazo Rais ajaye itabidi asimamie fursa hizo kweli kweli

Mwanzoni nilikuwa na watu wawili nilioona wanafaa kurithi mikoba ya urais, pro.Kabudi na Dkt. Bashiru lakini karata ya mwisho imeanguka kwa Dkt. Bashiru. Sio kwamba Prof. Kabudi hawezi ila umri umeenda sana na mwili umechoka kwa kazi nzito ya uwaziri tofauti na Dkt.Bashiru ambaye bado ana nguvu za kutosha.

Dkt.Bashiru si mtu wa kubezwa, ni mtu mwenye nguvu kubwa sana ya kisiasa na ushawishi mkubwa. Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.

Dkt. Bashiru amejawa na kipaji cha kuzungumza na kuhutubia na watu wakashawishika

Dkt. Bashiru ni mtu aliyesimama imara na Rais Magufuli kwenye ujenzi wa Tanzania mpya, na ndiye mtu pekee aliyeweza kuieneza na kuiishi falsafa ya Hayati Magufuli kwa watanzania.

Licha ya madhaifu aliyonayo ya kibinadamu, bado naamini ni mtu pekee aliyebaki ndani ya CCM atakayeweza kuvaa viatu vya Hayati Magufuli na vikamtosha kabisa. Apewe nafasi nyingine ya kuonesha uwezo alionao.

Najua upinzani ndani ya CCM katika kumpata atakayerithi mikoba ya Rais Samia kitakuwa kigumu sana na hapo ndipo hakutakuwa na namna nyingine ya kukinusuru chama zaidi ya kwenda na Dkt.Bashiru.

Upinzani mkali utakuwa kati ya
CCM asilia vs CCM wa kuja
CCM viroboto vs CCM wahuni
CCM wasukuma vs CCM wa pwani
CCM wazalendo vs CCM maslahi

Kwa sababu Dkt. Bashiru si mtu anayeamini katika makundi hasimu ya kisiasa hivyo makundi hayo yatakapokuwa katika kuumizana yeye hatoshiriki kabisa hivyo kuja kuonekana ni afadhali.

Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo zitakuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.
 
Shida ni kua mnapenda kueaongelea wale wanaonajisi taratibu tuliyojiwekea kwa ajibu ya maisha yetu na vizazi vijavyo.
Yaani unamzungumzia alieshawishi vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuingilia taratibu ya uchaguzi ili anaowataka washinde....huu ujinga unaipenda kwasababu gani?
 
Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.

Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za uwekezaji ambao ndio mwanzo wa kuelekea uchumi wa kati mkubwa. Hivyo ni uongozi utakaojikita kutengeneza fursa nyingi za uwekezaji ambazo Rais ajaye itabidi asimamie fursa hizo kweli kweli

Mwanzoni nilikuwa na watu wawili nilioona wanafaa kurithi mikoba ya urais, pro.Kabudi na Dkt. Bashiru lakini karata ya mwisho imeanguka kwa Dkt. Bashiru. Sio kwamba Prof. Kabudi hawezi ila umri umeenda sana na mwili umechoka kwa kazi nzito ya uwaziri tofauti na Dkt.Bashiru ambaye bado ana nguvu za kutosha.

Dkt.Bashiru si mtu wa kubezwa, ni mtu mwenye nguvu kubwa sana ya kisiasa na ushawishi mkubwa. Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.

Dkt. Bashiru amejawa na kipaji cha kuzungumza na kuhutubia na watu wakashawishika

Dkt. Bashiru ni mtu aliyesimama imara na Rais Magufuli kwenye ujenzi wa Tanzania mpya, na ndiye mtu pekee aliyeweza kuieneza na kuiishi falsafa ya Hayati Magufuli kwa watanzania.

Licha ya madhaifu aliyonayo ya kibinadamu, bado naamini ni mtu pekee aliyebaki ndani ya CCM atakayeweza kuvaa viatu vya Hayati Magufuli na vikamtosha kabisa. Apewe nafasi nyingine ya kuonesha uwezo alionao.

Najua upinzani ndani ya CCM katika kumpata atakayerithi mikoba ya Rais Samia kitakuwa kigumu sana na hapo ndipo hakutakuwa na namna nyingine ya kukinusuru chama zaidi ya kwenda na Dkt.Bashiru.

Upinzani mkali utakuwa kati ya
CCM asilia vs CCM wa kuja
CCM viroboto vs CCM wahuni
CCM wasukuma vs CCM wa pwani
CCM wazalendo vs CCM maslahi

Kwa sababu Dkt. Bashiru si mtu anayeamini katika makundi hasimu ya kisiasa hivyo makundi hayo yatakapokuwa katika kuumizana yeye hatoshiriki kabisa hivyo kuja kuonekana ni afadhali.

Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo zitakuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.
On my dead body!!!!!!!
 
Polepole una vituko sana 😂😂😂
 
Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo kuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.

Baada ya Uzembe wa Magu Kuwa rais naona kila ameona Kuwa rais Ni Jambo jepesi la kujaribu?
 
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kweli zilongwa mbali.......
 
Bashiru 2025 ndiye raisi wa awamu ya saba ho halina ubishi ni ukweli mtupu
sisi bado tupo awamu ya tano, chukulia mnasafiri na gari,dereva afariki ghafla alafu konda achukue usukani,je mtasema safari yenu labda ya Mwanza to Aru sha imebadilika ?
Samia hajachaguliwa na wananchi, yeye yupo hapo kutupeleka kwenye uchaguzi tu,ndio maana jiwe bado anaitw Hayati "rais..." hivo basi hii ni awamu ya Tano
 
Huyo Bashiru wa CUF. Endelea kuota ndoto za mchana
 
Ramli tatanishi hiyo. Yaani aje Mhutu tena?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ameshaukana Uanachama wake wa CUF?
Lowassa aliwahi kurudisha kadi ya CCM alipoenda CHADEMA?
sisi bado tupo awamu ya tano, chukulia mnasafiri na gari,dereva afariki ghafla alafu konda achukue usukani,je mtasema safari yenu labda ya Mwanza to Aru sha imebadilika ?
Samia hajachaguliwa na wananchi, yeye yupo hapo kutupeleka kwenye uchaguzi tu,ndio maana jiwe bado anaitw Hayati "rais..." hivo basi hii ni awamu ya Tano
Uwe Hayati halafu uwe Rais, hivi vituko kama hivi mnatoa wapi? Katiba ipo wazi juu ya kiti cha Rais kinapokuwa wazi na namna ya kumpata Rais mwingine. Urais wa Rais unakoma pale anapofariki, kuugua maradhi ya akili...n.k na utaratibu tulionao ni kwamba anapoapishwa Rais mwingine hiyo ni awamu nyingine
 
Back
Top Bottom