Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashiru amezoea siasa za kubwa, siyo za hoja.Na prof alikuwa mfuasi wa Maalimu
Hivyo Bashiru ataenda Act?
Kama ni Bshiru huyu ambaye CCM wenyewe wanamkana na kusema ni mwanachama wa CUF,nna wasiwasi na aina ya katata unazochanga ndugu.Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.
Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za uwekezaji ambao ndio mwanzo wa kuelekea uchumi wa kati mkubwa. Hivyo ni uongozi utakaojikita kutengeneza fursa nyingi za uwekezaji ambazo Rais ajaye itabidi asimamie fursa hizo kweli kweli
Mwanzoni nilikuwa na watu wawili nilioona wanafaa kurithi mikoba ya urais, pro.Kabudi na Dkt. Bashiru lakini karata ya mwisho imeanguka kwa Dkt. Bashiru. Sio kwamba Prof. Kabudi hawezi ila umri umeenda sana na mwili umechoka kwa kazi nzito ya uwaziri tofauti na Dkt.Bashiru ambaye bado ana nguvu za kutosha.
Dkt.Bashiru si mtu wa kubezwa, ni mtu mwenye nguvu kubwa sana ya kisiasa na ushawishi mkubwa. Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.
Dkt. Bashiru amejawa na kipaji cha kuzungumza na kuhutubia na watu wakashawishika
Dkt. Bashiru ni mtu aliyesimama imara na Rais Magufuli kwenye ujenzi wa Tanzania mpya, na ndiye mtu pekee aliyeweza kuieneza na kuiishi falsafa ya Hayati Magufuli kwa watanzania.
Licha ya madhaifu aliyonayo ya kibinadamu, bado naamini ni mtu pekee aliyebaki ndani ya CCM atakayeweza kuvaa viatu vya Hayati Magufuli na vikamtosha kabisa. Apewe nafasi nyingine ya kuonesha uwezo alionao.
Najua upinzani ndani ya CCM katika kumpata atakayerithi mikoba ya Rais Samia kitakuwa kigumu sana na hapo ndipo hakutakuwa na namna nyingine ya kukinusuru chama zaidi ya kwenda na Dkt.Bashiru.
Upinzani mkali utakuwa kati ya
CCM asilia vs CCM wa kuja
CCM viroboto vs CCM wahuni
CCM wasukuma vs CCM wa pwani
CCM wazalendo vs CCM maslahi
Kwa sababu Dkt. Bashiru si mtu anayeamini katika makundi hasimu ya kisiasa hivyo makundi hayo yatakapokuwa katika kuumizana yeye hatoshiriki kabisa hivyo kuja kuonekana ni afadhali.
Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo zitakuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.
Unalinganisha sasa na wakati wa Mwinyi ambapo Rais alikuwa anapatikana kwa kupendekezwa na kusimama peke yake?Mzee Mwinyi yalipotea mauaji alipokuwa wazuri wa mambo ya ndani mpaka kupelekea kujiuzuru hakuna aliyewaza angekuja kuwa Makamu wa Rais na Rais wa nchi zote. Hivyo Bashiru anayo nafasi
Nawaza, Hivi kuna umuhimu gani kupambania kuwa awamu ya tano?sisi bado tupo awamu ya tano, chukulia mnasafiri na gari,dereva afariki ghafla alafu konda achukue usukani,je mtasema safari yenu labda ya Mwanza to Aru sha imebadilika ?
Samia hajachaguliwa na wananchi, yeye yupo hapo kutupeleka kwenye uchaguzi tu,ndio maana jiwe bado anaitw Hayati "rais..." hivo basi hii ni awamu ya Tano
Mwaka 2007 wanamtandao waliokuwa wanaongozwa na Kikwete na Lowassa waliamini Mzee Mangula is dead and over. Mwaka 2012 haohao wanamtandao walimfuata Mzee Mangula kijijini kwake Waging'ombe na kumuomba aje "akinusuru chama kisiwafie mikononi mwao". Sina shaka kwa hili kutokea kwa Dk. Bashiru. Ninachomshauri Dk. Bashiru akae kimya alee familia yake hadi muda mwafaka utakapofika.Bashiru is dead and gone.
Achana na hekaya
Utakuwa muujiza...Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.
Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za uwekezaji ambao ndio mwanzo wa kuelekea uchumi wa kati mkubwa. Hivyo ni uongozi utakaojikita kutengeneza fursa nyingi za uwekezaji ambazo Rais ajaye itabidi asimamie fursa hizo kweli kweli
Mwanzoni nilikuwa na watu wawili nilioona wanafaa kurithi mikoba ya urais, pro.Kabudi na Dkt. Bashiru lakini karata ya mwisho imeanguka kwa Dkt. Bashiru. Sio kwamba Prof. Kabudi hawezi ila umri umeenda sana na mwili umechoka kwa kazi nzito ya uwaziri tofauti na Dkt.Bashiru ambaye bado ana nguvu za kutosha.
Dkt.Bashiru si mtu wa kubezwa, ni mtu mwenye nguvu kubwa sana ya kisiasa na ushawishi mkubwa. Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.
Dkt. Bashiru amejawa na kipaji cha kuzungumza na kuhutubia na watu wakashawishika
Dkt. Bashiru ni mtu aliyesimama imara na Rais Magufuli kwenye ujenzi wa Tanzania mpya, na ndiye mtu pekee aliyeweza kuieneza na kuiishi falsafa ya Hayati Magufuli kwa watanzania.
Licha ya madhaifu aliyonayo ya kibinadamu, bado naamini ni mtu pekee aliyebaki ndani ya CCM atakayeweza kuvaa viatu vya Hayati Magufuli na vikamtosha kabisa. Apewe nafasi nyingine ya kuonesha uwezo alionao.
Najua upinzani ndani ya CCM katika kumpata atakayerithi mikoba ya Rais Samia kitakuwa kigumu sana na hapo ndipo hakutakuwa na namna nyingine ya kukinusuru chama zaidi ya kwenda na Dkt.Bashiru.
Upinzani mkali utakuwa kati ya
CCM asilia vs CCM wa kuja
CCM viroboto vs CCM wahuni
CCM wasukuma vs CCM wa pwani
CCM wazalendo vs CCM maslahi
Kwa sababu Dkt. Bashiru si mtu anayeamini katika makundi hasimu ya kisiasa hivyo makundi hayo yatakapokuwa katika kuumizana yeye hatoshiriki kabisa hivyo kuja kuonekana ni afadhali.
Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo zitakuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.
Endelea kuota, nani aruhusu tena Mhutu kuwa Rais?Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.
Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za uwekezaji ambao ndio mwanzo wa kuelekea uchumi wa kati mkubwa. Hivyo ni uongozi utakaojikita kutengeneza fursa nyingi za uwekezaji ambazo Rais ajaye itabidi asimamie fursa hizo kweli kweli
Mwanzoni nilikuwa na watu wawili nilioona wanafaa kurithi mikoba ya urais, pro.Kabudi na Dkt. Bashiru lakini karata ya mwisho imeanguka kwa Dkt. Bashiru. Sio kwamba Prof. Kabudi hawezi ila umri umeenda sana na mwili umechoka kwa kazi nzito ya uwaziri tofauti na Dkt.Bashiru ambaye bado ana nguvu za kutosha.
Dkt.Bashiru si mtu wa kubezwa, ni mtu mwenye nguvu kubwa sana ya kisiasa na ushawishi mkubwa. Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.
Dkt. Bashiru amejawa na kipaji cha kuzungumza na kuhutubia na watu wakashawishika
Dkt. Bashiru ni mtu aliyesimama imara na Rais Magufuli kwenye ujenzi wa Tanzania mpya, na ndiye mtu pekee aliyeweza kuieneza na kuiishi falsafa ya Hayati Magufuli kwa watanzania.
Licha ya madhaifu aliyonayo ya kibinadamu, bado naamini ni mtu pekee aliyebaki ndani ya CCM atakayeweza kuvaa viatu vya Hayati Magufuli na vikamtosha kabisa. Apewe nafasi nyingine ya kuonesha uwezo alionao.
Najua upinzani ndani ya CCM katika kumpata atakayerithi mikoba ya Rais Samia kitakuwa kigumu sana na hapo ndipo hakutakuwa na namna nyingine ya kukinusuru chama zaidi ya kwenda na Dkt.Bashiru.
Upinzani mkali utakuwa kati ya
CCM asilia vs CCM wa kuja
CCM viroboto vs CCM wahuni
CCM wasukuma vs CCM wa pwani
CCM wazalendo vs CCM maslahi
Kwa sababu Dkt. Bashiru si mtu anayeamini katika makundi hasimu ya kisiasa hivyo makundi hayo yatakapokuwa katika kuumizana yeye hatoshiriki kabisa hivyo kuja kuonekana ni afadhali.
Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo zitakuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.
Yule mwamba hana hofu ya chochote , ni mtu wa vitendo haswa, hatishwi wala hatishiki. Watu wanambeza kwa sababu ya chuki tu na wanaombeza hapa si wanaCCM bali ni upinzani kwa sababu alipeleka uharibifu kwenye usanii wao.Mh Bashiru nimemsikiliza naona ni kiongozi mahiri
Sio kwamba humpendi Bashiru kwa sababu hafai kuwa kiongozi bali unahofia akiwa Rais atawabana kwenye mengiEndelea kuota, nani aruhusu tena Mhutu kuwa Rais?
Haiwezekani kwanza uraia wake una utataNinayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.
Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za uwekezaji ambao ndio mwanzo wa kuelekea uchumi wa kati mkubwa. Hivyo ni uongozi utakaojikita kutengeneza fursa nyingi za uwekezaji ambazo Rais ajaye itabidi asimamie fursa hizo kweli kweli
Mwanzoni nilikuwa na watu wawili nilioona wanafaa kurithi mikoba ya urais, pro.Kabudi na Dkt. Bashiru lakini karata ya mwisho imeanguka kwa Dkt. Bashiru. Sio kwamba Prof. Kabudi hawezi ila umri umeenda sana na mwili umechoka kwa kazi nzito ya uwaziri tofauti na Dkt.Bashiru ambaye bado ana nguvu za kutosha.
Dkt.Bashiru si mtu wa kubezwa, ni mtu mwenye nguvu kubwa sana ya kisiasa na ushawishi mkubwa. Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.
Dkt. Bashiru amejawa na kipaji cha kuzungumza na kuhutubia na watu wakashawishika
Dkt. Bashiru ni mtu aliyesimama imara na Rais Magufuli kwenye ujenzi wa Tanzania mpya, na ndiye mtu pekee aliyeweza kuieneza na kuiishi falsafa ya Hayati Magufuli kwa watanzania.
Licha ya madhaifu aliyonayo ya kibinadamu, bado naamini ni mtu pekee aliyebaki ndani ya CCM atakayeweza kuvaa viatu vya Hayati Magufuli na vikamtosha kabisa. Apewe nafasi nyingine ya kuonesha uwezo alionao.
Najua upinzani ndani ya CCM katika kumpata atakayerithi mikoba ya Rais Samia kitakuwa kigumu sana na hapo ndipo hakutakuwa na namna nyingine ya kukinusuru chama zaidi ya kwenda na Dkt.Bashiru.
Upinzani mkali utakuwa kati ya
CCM asilia vs CCM wa kuja
CCM viroboto vs CCM wahuni
CCM wasukuma vs CCM wa pwani
CCM wazalendo vs CCM maslahi
Kwa sababu Dkt. Bashiru si mtu anayeamini katika makundi hasimu ya kisiasa hivyo makundi hayo yatakapokuwa katika kuumizana yeye hatoshiriki kabisa hivyo kuja kuonekana ni afadhali.
Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo zitakuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.
Over my......On my dead body!!!!!!!
Baada yaVasco da gama kwenda kubembea kule Jamaica, hata wendawazimu walijua kuwa hakuna kazi rahisi kama kuwa Rais wa Tanzania.Baada ya Uzembe wa Magu Kuwa rais naona kila ameona Kuwa rais Ni Jambo jepesi la kujaribu?