Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama si pale juu[emoji121]lakini ana nafasi kubwa katika Taifa hili. Mungu na amuwekee mkono wake amlinde na mabalaa
KwaniniHawez kuwa kiongozi tena huyuu
Kakutuma umsemee mkuu au wewe ni bashiru mwenyewe??Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.
Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za uwekezaji ambao ndio mwanzo wa kuelekea uchumi wa kati mkubwa. Hivyo ni uongozi utakaojikita kutengeneza fursa nyingi za uwekezaji ambazo Rais ajaye itabidi asimamie fursa hizo kweli kweli
Mwanzoni nilikuwa na watu wawili nilioona wanafaa kurithi mikoba ya urais, pro.Kabudi na Dkt. Bashiru lakini karata ya mwisho imeanguka kwa Dkt. Bashiru. Sio kwamba Prof. Kabudi hawezi ila umri umeenda sana na mwili umechoka kwa kazi nzito ya uwaziri tofauti na Dkt.Bashiru ambaye bado ana nguvu za kutosha.
Dkt.Bashiru si mtu wa kubezwa, ni mtu mwenye nguvu kubwa sana ya kisiasa na ushawishi mkubwa. Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.
Dkt. Bashiru amejawa na kipaji cha kuzungumza na kuhutubia na watu wakashawishika
Dkt. Bashiru ni mtu aliyesimama imara na Rais Magufuli kwenye ujenzi wa Tanzania mpya, na ndiye mtu pekee aliyeweza kuieneza na kuiishi falsafa ya Hayati Magufuli kwa watanzania.
Licha ya madhaifu aliyonayo ya kibinadamu, bado naamini ni mtu pekee aliyebaki ndani ya CCM atakayeweza kuvaa viatu vya Hayati Magufuli na vikamtosha kabisa. Apewe nafasi nyingine ya kuonesha uwezo alionao.
Najua upinzani ndani ya CCM katika kumpata atakayerithi mikoba ya Rais Samia kitakuwa kigumu sana na hapo ndipo hakutakuwa na namna nyingine ya kukinusuru chama zaidi ya kwenda na Dkt.Bashiru.
Upinzani mkali utakuwa kati ya
CCM asilia vs CCM wa kuja
CCM viroboto vs CCM wahuni
CCM wasukuma vs CCM wa pwani
CCM wazalendo vs CCM maslahi
Kwa sababu Dkt. Bashiru si mtu anayeamini katika makundi hasimu ya kisiasa hivyo makundi hayo yatakapokuwa katika kuumizana yeye hatoshiriki kabisa hivyo kuja kuonekana ni afadhali.
Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo zitakuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.
Mhutu tena ?????Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.
Uongozi wa Rais Samia unafanya vizuri sana katika kusaka fursa za uwekezaji ambao ndio mwanzo wa kuelekea uchumi wa kati mkubwa. Hivyo ni uongozi utakaojikita kutengeneza fursa nyingi za uwekezaji ambazo Rais ajaye itabidi asimamie fursa hizo kweli kweli
Mwanzoni nilikuwa na watu wawili nilioona wanafaa kurithi mikoba ya urais, pro.Kabudi na Dkt. Bashiru lakini karata ya mwisho imeanguka kwa Dkt. Bashiru. Sio kwamba Prof. Kabudi hawezi ila umri umeenda sana na mwili umechoka kwa kazi nzito ya uwaziri tofauti na Dkt.Bashiru ambaye bado ana nguvu za kutosha.
Dkt.Bashiru si mtu wa kubezwa, ni mtu mwenye nguvu kubwa sana ya kisiasa na ushawishi mkubwa. Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.
Dkt. Bashiru amejawa na kipaji cha kuzungumza na kuhutubia na watu wakashawishika
Dkt. Bashiru ni mtu aliyesimama imara na Rais Magufuli kwenye ujenzi wa Tanzania mpya, na ndiye mtu pekee aliyeweza kuieneza na kuiishi falsafa ya Hayati Magufuli kwa watanzania.
Licha ya madhaifu aliyonayo ya kibinadamu, bado naamini ni mtu pekee aliyebaki ndani ya CCM atakayeweza kuvaa viatu vya Hayati Magufuli na vikamtosha kabisa. Apewe nafasi nyingine ya kuonesha uwezo alionao.
Najua upinzani ndani ya CCM katika kumpata atakayerithi mikoba ya Rais Samia kitakuwa kigumu sana na hapo ndipo hakutakuwa na namna nyingine ya kukinusuru chama zaidi ya kwenda na Dkt.Bashiru.
Upinzani mkali utakuwa kati ya
CCM asilia vs CCM wa kuja
CCM viroboto vs CCM wahuni
CCM wasukuma vs CCM wa pwani
CCM wazalendo vs CCM maslahi
Kwa sababu Dkt. Bashiru si mtu anayeamini katika makundi hasimu ya kisiasa hivyo makundi hayo yatakapokuwa katika kuumizana yeye hatoshiriki kabisa hivyo kuja kuonekana ni afadhali.
Nachelea kusema ,njia zilizotumika kumpata Rais Magufuli ndizo hizo zitakuja kutumika kumpata mrithi wa Rais Samia.
Ni kweli kabisa bashiru ali ni mmoja ya wazalendo waomini wa falsafa/itikadi ya ccm ya ujamaa na kujitegemea. Msisahau ndie aliwezesha ccm chini ya uongozi wa magufuli kurejesha mali za chama zilizoporwa. Ni mtu mtaratibu sio mropokaji kama hao kambi ya fisi kina nape na januari. Hakina akiibuka binafsi sina shaka nchi itakua na kiongozi bora. Ila sio pekee. Tumejaliwa watu wema wengine waadilifu wapenda watu na wenye uwezo kuongoza nchi hii. Tunawaomba wajitokeze 2025 bila kukosa.Ninayoenda kuyaandika hapa yanaweza kuchukuliwa kama masihara au kukosa uelewa wa siasa za nchi hii lakini ni ukweli usiopingika mtu mwenye kariba, mtazamo na uwezo kama wa JPM wa kupambana na mafisadi na wazembe ni Dkt.Bashiru.