Kila nikichanga karata zangu, namuona Dkt. Bashiru akiwa kiongozi wa awamu ya saba

Hakurudisha. Kwa hiyo Bashiru ni mwanachama wa CUF bado.
Kama ambavyo hatuna uraia pacha hivyo basi hatuna uanachama pacha... Uanachama wa chama husika unakoma pale inapoinika ni mwanachama wa chama kingine, kurudisha kadi au kubaki nayo ni juu yako lakini mchakato wa chama chako cha awali kukufuta uanachama unatakiwa ufuatwe.

Swali: je, CUF bado wanamtambua bashiru kama mwanachama wao?
 
UMESAHAU NI MUISLAMU MWENYE MSIMAMO MKALI.
 
Kuhusu kuchaguliwa na wananchi 2015 na 2020, Samia na Magufuli wako sawa. Usifikiri confidence ya Samia kama Rais wa awamu ya sita ni ya mashaka. Anajitambua vizuri sana. Mkakati mzima wa ushindi anao. Anakamilisha ku-set up back-up ya chama na dola. Hakuna wa kumtisha wala kumtikisa huko CCM.
 
Wazee wa mtama wana masuala na alikotoka na alikotolewa
 
Marehemu kaondoka katuachia CCM yenye vipande viwili vikubwa, viiite majina unayotaka wewe.
Wale wahamiaji wenyewe hawana upande,wamejikunyata hawajui hatma yao, ni sawa na watoto wa nje kwenye urithi wa baba ambaye alikuwa na watoto na mke wa ndoa.
 
Hata Bata akichaguliwa kuwa campaign manager wa CCM huyo mgombea lazima ashinde

CCM wanajua wap wanautoa ushindi mengine n kiin macho kukamilisha mchakato wa kikatiba tu
 
Kama the state itamuona anafaa kuendeleza pale alipoishia jpm!Basi ni kweli atakuwa Raisi!Pia ataongoza vizuri kwa hekima ya Mungu mkuu!!
 
CCM INA WENYEWEEEE................
 
Mleta mada tunajua Nia yako ni kumsagia kunguni Bashiru. Naunga mkono hoja.
 
Mzee Mwinyi yalipotea mauaji alipokuwa wazuri wa mambo ya ndani mpaka kupelekea kujiuzuru hakuna aliyewaza angekuja kuwa Makamu wa Rais na Rais wa nchi zote. Hivyo Bashiru anayo nafasi
Kwahiyo Bshiru nae Kuna matatizo yametokea akajiuzulu?
 
Kutoka katibu Mkuu kingozi hadi katibu kata huo ni mweleka usio wa kawaida.
 
It's just a wishful thinking or a mere hallucinations, ukikua utaelewa.
 
Du! Utumbo sometimes mtamu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…