Kila nikichanga karata zangu, namuona Dkt. Bashiru akiwa kiongozi wa awamu ya saba

Inawezekana kutokea lkn tusiombee hilo kutokea ikiwa tunataka Tanzania tuishi kwa furaha. Usisahau ile kauli "mimi sipangiwi"
 
Bashiru ni mbuge tu,tena wakuteuliwa,sio mjumbe wa kamati kuu,sio mjumbe wa kamati kuu,nadhani hata ujumbe wa mtaa hana.
Bahati mbaya hakupitia ngazi za uanachama kutokea chipukizi,hajui kufunga skafu,tuseme hajalelewa kwenye mikono salama ya chama,sio mwenzao kwa kauli ya Bulembo mwenyekiti mstaafu wa Wazazi.Nani wa kumbeba? Hana zaidi ya Polepole mwana mpotevu.
Itabidi labda Magu afufuke ndio hayo yafanyike,hata hivyo Bi Samia ameishaapishwa Uraisi wa Jamhuri na Uwenyekiti wa Chama.
 
Nimeishia hapo kwenye USHINDI WA KISHINDO ndio nikagundua mtoa mada kumbe ni empty set.
 
Mh Bashiru nimemsikiliza naona ni kiongozi mahiri
 
Mhe bashiru mrithi wa Magufuli sawa, na mrithi wa mkapa nani?
 
Dr Bashir CUF damu hajawahi kurejesha kadi ya CUF
 

Izo hakaya Za Sadick Na Fikiri kazirejee kusizoma mwenyewe kama ulisimuliwa
 
Aliyekwambia nchi inahitaji mtu mwenye hulka za kimagufuli ni nani??
Akili kama zile hazihitajiki kabisa nchini.
 
Muda mfupi aliokuwa kiongozi mwenyeji wa taifa hili umemuanika udhaifu wake upo wapi. Ana hulka zile zile za JPM, hana uvumilivu ambayo ni sifa ya kuongoza nchi. Analipa visasi tena kwa sauti ya wazi na ya nguvu.

Alipowaita wazee wa CCM wapumbavu kwa kukaripia, hakujua kama maisha huenda yakibadilika. Akalazimika kukaa na wazee wale wale aliowatukana katika ukumbi wa mkutano mkuu tena pembeni yao.

Kuongoza nchi ni karama kubwa sio kila mtu mwenye kuweza.
 
Ikumbukwe Dkt. Bashiru ndiye kampeni meneja pekee aliyeweza kufanikisha ushindi wa kishindo wa mgombea urais , hivyo tusibeze uwezo wake wa ushawishi.....yaani nilivyoona huu ujinga ulioandika nimepuuza kila kitu, waliiba hawakushawishi mtu yeyote, mwenye akili kidogo anajua hilo
 
Endelea kuota,, ukiamka utakula ulichoota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…