Kila nikichanga karata zangu, namuona Dkt. Bashiru akiwa kiongozi wa awamu ya saba

Inakuwa hivyo kwenye ile wiki ya kwanza mtu kuvuta bangi.

Pole mkuu
 
Yaani mtu aliyefanikisha wizi ule ndiye unasema aje aongoze nchi? Watanzania hawataki kutawaliwa na washamba au madikteta.
 
Kama ni Bshiru huyu ambaye CCM wenyewe wanamkana na kusema ni mwanachama wa CUF,nna wasiwasi na aina ya katata unazochanga ndugu.
 
Mzee Mwinyi yalipotea mauaji alipokuwa wazuri wa mambo ya ndani mpaka kupelekea kujiuzuru hakuna aliyewaza angekuja kuwa Makamu wa Rais na Rais wa nchi zote. Hivyo Bashiru anayo nafasi
Unalinganisha sasa na wakati wa Mwinyi ambapo Rais alikuwa anapatikana kwa kupendekezwa na kusimama peke yake?

Mzee Mwinyi muache tu na bahati yake maana hata kwa kura ndani ya Kamati Kuu asingepita.
 
Nawaza, Hivi kuna umuhimu gani kupambania kuwa awamu ya tano?

Samia akiwa awamu ya 5 na akiwa awamu ya 8 tofauti ni nn?
 
Bashiru is dead and gone.

Achana na hekaya
Mwaka 2007 wanamtandao waliokuwa wanaongozwa na Kikwete na Lowassa waliamini Mzee Mangula is dead and over. Mwaka 2012 haohao wanamtandao walimfuata Mzee Mangula kijijini kwake Waging'ombe na kumuomba aje "akinusuru chama kisiwafie mikononi mwao". Sina shaka kwa hili kutokea kwa Dk. Bashiru. Ninachomshauri Dk. Bashiru akae kimya alee familia yake hadi muda mwafaka utakapofika.
 
Utakuwa muujiza...
 
Endelea kuota, nani aruhusu tena Mhutu kuwa Rais?
 
Mh Bashiru nimemsikiliza naona ni kiongozi mahiri
Yule mwamba hana hofu ya chochote , ni mtu wa vitendo haswa, hatishwi wala hatishiki. Watu wanambeza kwa sababu ya chuki tu na wanaombeza hapa si wanaCCM bali ni upinzani kwa sababu alipeleka uharibifu kwenye usanii wao.

Wajiandae tu kisaikolojia maana akiwa Rais yule mwamba ,mafisadi watafute pa kujificha
 
Haiwezekani kwanza uraia wake una utata
 
Baada ya Uzembe wa Magu Kuwa rais naona kila ameona Kuwa rais Ni Jambo jepesi la kujaribu?
Baada yaVasco da gama kwenda kubembea kule Jamaica, hata wendawazimu walijua kuwa hakuna kazi rahisi kama kuwa Rais wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…