Kila nikichanga karata zangu, namuona Dkt. Bashiru akiwa kiongozi wa awamu ya saba

Hata kama si pale juu☝lakini ana nafasi kubwa katika Taifa hili. Mungu na amuwekee mkono wake amlinde na mabalaa
 
Hata kama si pale juu[emoji121]lakini ana nafasi kubwa katika Taifa hili. Mungu na amuwekee mkono wake amlinde na mabalaa

Tunatofautiana kwenye kuona wewe ukimuona juu, wengine wanamuona mavumbini akihangaika kwa taaabu. Hawa wangekuwa china leo tungekuwa na story nyingine.
 
Zamu ya Vatican sasa, sema safari hii atafutwe mwenye roho nzuri maana awamu za Vatican huwa za moto sana.
 
Kakutuma umsemee mkuu au wewe ni bashiru mwenyewe??
 
Mhutu tena ?????
 
Ni kweli kabisa bashiru ali ni mmoja ya wazalendo waomini wa falsafa/itikadi ya ccm ya ujamaa na kujitegemea. Msisahau ndie aliwezesha ccm chini ya uongozi wa magufuli kurejesha mali za chama zilizoporwa. Ni mtu mtaratibu sio mropokaji kama hao kambi ya fisi kina nape na januari. Hakina akiibuka binafsi sina shaka nchi itakua na kiongozi bora. Ila sio pekee. Tumejaliwa watu wema wengine waadilifu wapenda watu na wenye uwezo kuongoza nchi hii. Tunawaomba wajitokeze 2025 bila kukosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…