Kila nikijaribu kumsamehe/kuwasamehe nashindwa

Kwa kuwaheshimu wanawake huwa tunafanya kwa siri mnoooo
 
Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi kuwa ndo kitu sahihi; tunahalalisha tu ushenzi. And wanawake wa kizazi hiki si sawa na wa kizazi cha mabibi zetu. Kama unaitaka amani ya ndoa yako kweli; be faithful. Ila kama unataka pia kuhesabu pamoja miaka ambayo "mmedumu" katika ndoa; ni ruksa tu. Badala ya kuwa kati ya hiyo 80% ya wapumbavu; unaweza ukachagua kuwa kati ya hao 20% wenye akili njema. Chaguo ni lako
 
Ni nature yetu na ndio maana wenzetu waislam wanaruhusu mke zaidi ya mmoja
 
Nimefurahi kuona mchango wako katika ili wengi wanatakiwa kujifunza kupitia kusoma huu ujumbe wako uliouweka its very powerful. kuwa strong emotionally ni trait ambayo kimsingi watu wachache sana wanayo si kwa wanawake wala wanaume maana ukimsoma mtoa mada kuna mahali anasema alikuwa anapotea isipokuwa tu huyo mshauri mzuri aliyempata

kuhusu kesi ya yaliyomkuta ndugu yangu ni kwlei kabisa mke wake hakuwa strong emotionally na hakupata washauri sahihi lakini asilimia kubwa ya jamii wanampa lawama yeye kwasababu alimalizia vibaya kuuza mali na kukimbia na mtot, kasoro mimi.

Wakati ndugu yangu ndiye aliyekosea in the first place alimsaliti, utakuta alikuwa anampiga wakati mwingine na kero nyingine nyingine ambazo kwa mtazamo wake yeye kama mwanaume alikuwa anaona ni sawa hakuna shida hapa yeye ndiye alikuwa chanzo cha tatizo (but he feels like there were justifications for whatever he was doing)

Again wanaume wa Tanzania, Afrika tujitahidi kuwa responsible na kufikiria matendo yetu na vile tufanyavyo kwenye mahusiano imagine huyu victim ambaye hataki kusamehe anavyosimulia yeye kuwa ana zini nje halafu amekamatwa anajua yameisha kirahisi rahisi tu ni Ngumu sana, Na Mungu atusaidie kwa kweli

Ndoa ni uwekezaji mkubwa sana. Aliyeanzisha kosa ndiye hataki kusamehe its so Sad
 


Dharau unazo maana ulianza kwa kusema vitu vyenyewe TV na kitanda, ukasema hayo maisha umeishi 5 yrs back, ndo nikakuambia kama wewe umeishi 5yrs back yeye kaishi 10 yrs back.
Kwa hyo kwako kipi bora kujaribu kumwendeleza mtu ambaye unahisi hana uwezo wa Kufanya maamuzi ili awe na uwezo wa Kufanya maamuzi na kulea familia au kumwacha alivyo. Mkuu sijui hata unaongea nini tu maana kija Jema alolojaribu Kufanya jamaa kwako unaona mbaya. Kama umesoma comments kuna sehemu jamaa akasema aliachana na yule mchepuko maana kwa Mapito Yale hata network ilikuw haishiki sometimes. Nimemsoma vzuri sana mwana nadhani Yale matusi yalimfika kiasi cha kuamua kuongelea Kuhusu msaada aliompa mama Mkwe. Jamaa alikuwa provoked kwa kiwango cha juu. Je mbona huongelei mwana kutukanwa na mama, Dada, na mke, mbona unongelea tu mwana kumshirikisha Rafiki, sister jirani na mama. Acha wivu mkuu

Mkuu una wivu, huo ndo ukweli
 
Huyo jamaa nimemfatilia msisitizo wake ni nature tu sijui ni nature gani anayoizungumzia kwenye hii case, wakati kosa lipo wazi kwa jamaa ndiyo wale watu ambao bado wana imani na mila potofu so primitive at the same time amekuwa kipaombele kumlaumu huyu mwanamke wakati upandaji wa mbegu za ubaya umechipua.

kwa mabadiliko ya sasa watu ambao hawataki ku adjust thinking zao at the same time hawako strong emotionally kuna mengi sana ya kuwapata, Ukiona unashikilia nature usioe basi endelea na nature unaoa, unakamatwa na kosa na ushaidi unakomaa nature nature, kazi kweli kweli
 
Ndo maana nikaona ninyamaze tu; energy ya kureply comment yake; niitumie kwa mambo mengine ya msingi. Sasa mtu hata hajui kwa nini anafanya kitu fulani ila anafuata tu mkumbo eti ni nature; is he sane? Afu inakuwaga nature tu kwenye ujinga; kwenye mambo ya msingi aaaaah
 
People should learn to be responsible for their actions period.

Hii scenario imenikumbusha story fulani hivi. Bwana alikuwa anaishi na mdada A kwa muda tu; ikatokea akapata mdada B kazini na baada ya muda B akapata ujauzito. Inavyoonekana mdada A akajua kama kuna B na ana ujauzito. Siku Bwana akakamatwa kwa kosa fulani akawekwa ndani; A akapromise kumsaidia ila akapotea mazima akasomba na furniture zote. So B ndo akamtolea bwana dhamana na kila kitu. Sasa B akawa anaongea kuwa kwa kitendo alichofanya A; aliprove kuwa A hakuwa the right person kwa bwana. Kimoyo moyo nilicheka sana; hivi Bwana aliyekuwa anaishi na A afu bado akaenda akampa B mimba; je bwana ndo alikuwa the right person kwa A?

Kitendo cha mwanamke kutoroka na vyombo naonaga kama ni cha kujidhalilisha sana; but tunatakiwa tuangalie na chanzo. Majority wanafanyaga kama njia ya kutoa uchungu. Though I wish wangekuwa wanaachana tu kwa amani na hao wanaume waliowakosea; simply showing them that there were not worth their love. "You raise your head up and leave gracefully"
 
Mkuu mimi niliongelea kuhusu TV na kitanda mwanzoni kwamba ni vitu vidogo sana ambavyo mtu ukiamua kureplace, haikuchukui muda ( my intentions were good labda namna nilivyowasilisha).

Wewe ndio ukaniambia mimi nina wivu, ninaishi kwa dada yangu, ukaongea maneno machafu kumhusu dada yangu.

Nikakuambia sina cha kuona wivu hapo, kwa sababu hayo maisha nimeyaishi miaka mitano nyuma. Mimi siwezi kulook down on someone kwa sababu ni kitu ambacho nakipinga.

Ntarudia tena na tena, nimejaribu kuwa very objectively. Nakubali huyo mwanamke kakosea, lakini sio shetani kama tunavyoaminishwa hapa.

Na nilijaribu kuongelea mambo ya TV ili wadau mfunguke kuhusu possibility ya kuongezewa sifuri kwenye maelezo mengine.

Story yake imekuwa filtered sana, kuna sehemu mambo yametolewa na kuna sehemu mambo yameongezwa.

Na trust me, huwa sina wivu kabisa kuhusu mshikaji. Naamini Honesty is a best policy. Na ntandelea kusema ukweli.
 
Una dharau tena saaaana tu hata sio kidogo, heshimu vya watu pia u ion vina thamani!!
 


Kwani kuna mahali mwana akasema alishindwa kureplace TV, hapa mwana alichokuwa anasema kama huyo mwanamke alishamchoka angemwacha na watoto wake na vitu vyake kwa sababu alimkuta navyo. Nikasema una wivu maana ni kma ulionyesha kama mwana alivhofanyiwa ni sahihi. Sawa inawezekana babda mwana hajaeleza vyote ila hata ukisoam mkasa wake amejaribu kuwa fai mbona kakubali kuwa alichepuka so angeweza kua na story nyingine itakayoonyesha kuwa huyo mwanamke alifanya ndivyo sivyo? Utakuweje objective kwa kuona tu kuwa mwana ndo Mwenye kisa na huyo mwanamke hana kosa. Tutaongezewaje sifuri wewe unamjua mwana maana unvyoongea ni kama hii story unaijua kabla ila hutaki kufunguka. Umejuaje kuwa story imekuwa filtered ? Hii story unaijua nje ya hapa. Acha kujifanya mjuaji wakati hujui lolote

Wivu tu unakusumbua na dharau za kingese, inawezekana kweli unakaa kwa Dada.
 
Ningefanya kama wew,pengne zaidi yako!!hata yule jamaa aliotumia gunia 2 kumchoma mkewe nina hakika ana story ndefu sana ambayo inabidi kwanza tuisikie...hawa viumbe sio wenzetu
Correct
 
Duuu. naona thread imegeuka kuwa uwanja wa mtifuano, naomba nilale kidogo wakuu nimechoka sana leo kwenye mihangaiko ya kuwatafutia watoto ugali (mnajua tena mimi ndo baba ndo mama kwa sasa), usiku mwema wakuu.
 
Mimi nilipo huku watu wakitaka kuhama au kuupgrade vitu vya ndani, huwa wanaacha TV, sofa , na vitu vingine nje. Mimi TV yangu niligawa bosi, gari ya kwanza huku nilipo nilipewa bure.

Kuna jirani yangu hapa, katupa TV yake kwenye dustbin jana. Ningekupigia picha uone.

Labda exposure ndio inanifanya nionekane nina dharau. Labda exposure ndio inanifanya nione kuchepuka ni kosa, haijalishi kalifanya nani. Labda exposure, ndio inanifanya niwe na mtazamo huu. Labda exposure ndio inanifanya niweze kucritique hii story kwa jicho hilo.

Vyovyote vile, sitaki argument za matusi. Ukinitukana tena, nakureport.

 



Huna lolote exposure exposure my ass, kumbe gari ulipewa, wanaume mwenzako wanajisifi Kununua gari we unajisifu kupewa, we ni.....au? Kwa kifupi hata ueleweki maana kila ukireply unakuja na mengine, acha kubadili gia angani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…