Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni wewe , jiwekee mazingira ya kubadilika kitabia na kujifunza kunyamazia mambo yako.Mambo ya ovyo kama vile starehe japo uwa situmii pombe Ila bebez na kununua vitu visivyo kuwa na maana yote imekuwa nyingi mno na uwa lust inakuwa kubwa kila nikianza kupata pesa hasa nikiwaambia tu home kuwa next month ntakuwa huko
Shukuruni kwa mlichonacho. Usiangalie jirani au mtu mwingine atasemaje, ukiangalia vigezo hivyo hutoboi.Sijajenga ila wazazi wangu wana nyumba yao ila ni kama pagale tu coz haija kamilika sehemu kubwa na ule mtaa wanao ishi wamezungukwa na watu wenye pesa karibu wote………..Huwezi amini!!!! Kwetu ndio imekuwa mfano wa kaya masikini kwa pale mtaani
Shida yangu kubwa ni kubadili mazingira ya pale japo kwa kiasi kidogo tu ili nipunguze ile picha ya kudharaulika pale mtaani ila ndio hivyo tena mabalaa yamekuwa mengi sana
usiwe unawaambia sana watu mipango yako mfano kujenga, kufungua biashara nk,,,kuna watu wana mikosi na laanaKafungue hata fixed account kwa kipindi flan let's say hata 3yrs, then jiwekee akiba kadri uwezAvyo , muda ukifika katoe pesa yako zama ndichi kafanye maendeleo,,, pia zingatia usiwe unawaambia sana watu mipango yako mfano kujenga, kufungua biashara nk,,,kuna watu wana mikosi na laana
Kuwa na elimu ya chuo kikuuu sio kuwa na elimu ya utambuzi wa mambo ya kiroho.tatizo linaanzia kichwani kwako,una elimu ya chuo kikuu hujui kupangila mambo bado unaamini huenda umerogwa.
Ushauri
Rudi darasani tafuta chuo kinachofundisha kuelewa sio kukariri kisha njoo kitaa tukupe elimu ya mtaa halafu tutakufundisha namna ya kufanya jambo kubwa kwa kuanza kufanya kidogo halafu utatoboa.
Hizi jitihada za kuondoa umaskini katika ukoo ndo zitakuwa anguko lake.. mm nampa H/W akiweza afanye. Achunguze ni nani hasa katika familia yao ananufaika na umaskin wa ukoo mzima uliopoKama una mawazo ya kuufuta ama kupunguza umaskini wa familia/ukoo wako, hutoboi. Mizimu ya babu, maaika wa Mungu na kanuni zote za kiuchumi zinakataa. Wewe ndiye ulioaswa kusaidiwa na wazazi kupambana na maisha mpk utoboe. Na siyo kinyume chake.
Ombea hio mipango yakoNinatoka familia duni sana ambayo kipato chao,mlo wao na ata makazi yao ni duni sana
Nina wakubwa zangu Ila na wao wote wana familia zao na wao pia hali zao zipo chini sana kiuchumi, kwahiyo pale nyumban nimebaki mimi na wadogo zangu wengine ambao na wao bado wanasoma
Mimi ndio mtu wa kwanza kufika elimu ya Chuo Kikuu kwa home na ata kiukoo kwa ujumla japo kiuchumi bado sipo vizuri sana
Ila sasa kila nikiwapigia simu wazaz wangu kuwa mwezi unaokuja nitakwenda kuwakarabatia nyumba yao na ata kuwawekea umeme na pamoja na maji. Zile pesa zote nilizo changa zinaishia kwenye mambo mengne tena ni ya ovyo sana
Ninajiona kama nina jukumu kubwa sana la kubadili hali ya pale home coz nikiwaangalia ndugu zangu sifikirii kama ata wana mawazo hayo,ila sasa hali ninayo kumbana nayo ndio Kama hiyo
Msaada pleasee,kuna nguvu za giza zinaniandama au ni maroho ya umaskini?
Yeah Upo sahihi sana!!!! Ni kweli kuna vitu uwa natamani sana kuvifanya hasa nikiwa broke so,nikipata tu pesa nakimbilia kwenye hayo mambo mwisho wa siku pesa yote inakuwa inakwisha kwenye mambo ya ovyo sanaHii siyo kuhusu mabalaa.
Na hapo kwenye kumaliza pesa hovyo nafikiri ni unacompensate kwa ulivyovikosa wakati you were broke.
Kuna details hautoi hapa
Na huyo sio mwngine nahisi ni Kaka yangu ambaye anapenda sana starehe kama kunywa pombe na sio kufanya mambo ya maanaHizi jitihada za kuondoa umaskini katika ukoo ndo zitakuwa anguko lake.. mm nampa H/W akiweza afanye. Achunguze ni nani hasa katika familia yao ananufaika na umaskin wa ukoo mzima uliopo
Mana katika familia hizi wapo watu wananufaika n umaskini huo hatakama na wao ni maskini vilevile. Na hao huwa hawatoki mbali, ndo hao hao kwemye masuala ya maana na mendeleo michango hawatoi na wanakuaga wazito kwelikweli kushiriki mambo ya maendeleo hata kimawazo tu
Ushaur wangu kwako. Fanya maendeleo yako wekeza vya kutosha. Katika maisha usimuahidi kitu ndugu au mzazi, we mfanyie surprise tu. Kumbuka wewe ndie unawaona wanaishi maisha duni kwasababu ushaona uli.wengu wa nje ila wao ndio maisha yao hawana shida nayo. Kama kuna mtu analoga hilo boma lisiendelee chochote utakachofanya watakutarget wewe. So jiwekeze kwanza vya kutosha. Pili ukipokea mshahara au kipato chochote kitolee sadaka huwa zinalinda dhidi ya mwaribifu. Kuwa makin usibadili life style wakati unajipanga wewe yaan kununua magari kuwaonyesha una hela kabla hujawekeza watakufanyia mabaya. Kama una hela nunua viwanja nunua majumba kimya kimya mpaka wakija wakukute uko kwenye point of no return. Ndio unabadilika mazima.Ninatoka familia duni sana ambayo kipato chao,mlo wao na ata makazi yao ni duni sana
Nina wakubwa zangu Ila na wao wote wana familia zao na wao pia hali zao zipo chini sana kiuchumi, kwahiyo pale nyumban nimebaki mimi na wadogo zangu wengine ambao na wao bado wanasoma
Mimi ndio mtu wa kwanza kufika elimu ya Chuo Kikuu kwa home na ata kiukoo kwa ujumla japo kiuchumi bado sipo vizuri sana
Ila sasa kila nikiwapigia simu wazaz wangu kuwa mwezi unaokuja nitakwenda kuwakarabatia nyumba yao na ata kuwawekea umeme na pamoja na maji. Zile pesa zote nilizo changa zinaishia kwenye mambo mengne tena ni ya ovyo sana
Ninajiona kama nina jukumu kubwa sana la kubadili hali ya pale home coz nikiwaangalia ndugu zangu sifikirii kama ata wana mawazo hayo,ila sasa hali ninayo kumbana nayo ndio Kama hiyo
Msaada pleasee,kuna nguvu za giza zinaniandama au ni maroho ya umaskini?
Uhakika mzee hapa umeuwa sana ila kwenye kuwasaidia ninahisi ninapaswa kukarabati hiyo nyumba yao basi halaf vingine watamalizia na wengine au wao wenyeweUshaur wangu kwako. Fanya maendeleo yako wekeza vya kutosha. Katika maisha usimuahidi kitu ndugu au mzazi, we mfanyie surprise tu. Kumbuka wewe ndie unawaona wanaishi maisha duni kwasababu ushaona uli.wengu wa nje ila wao ndio maisha yao hawana shida nayo. Kama kuna mtu analoga hilo boma lisiendelee chochote utakachofanya watakutarget wewe. So jiwekeze kwanza vya kutosha. Pili ukipokea mshahara au kipato chochote kitolee sadaka huwa zinalinda dhidi ya mwaribifu. Kuwa makin usibadili life style wakati unajipanga wewe yaan kununua magari kuwaonyesha una hela kabla hujawekeza watakufanyia mabaya. Kama una hela nunua viwanja nunua majumba kimya kimya mpaka wakija wakukute uko kwenye point of no return. Ndio unabadilika mazima.