Kila nikikumbuka kuwa nilisema "Sitafanya kazi chini ya laki 3" baada ya kumaliza University

Kila nikikumbuka kuwa nilisema "Sitafanya kazi chini ya laki 3" baada ya kumaliza University

Elimu itamlimit kunyumbulika.. aliosoma nao wqtamdhihaki. Ataenda kuwa mfano mbaya huko na ataonyeshewa kidole mana watu ukisoma wanataka kukuona una mafanikio na hela tu... umezipata wapi wao hawatak kujua.. ataenda kubeti tu.

Ukisoma ukarudi nyumban umeachagua kwend kutumika kama mfano mbaya huko unless uwe na kaz ya kueleweka
Kama naiona fursa nzuri nani babu kubwa niiache kisa mtu home ndio pakuanzia ukiwa unajipanga kuponyoka kwende mambele huko
 
Kama naiona fursa nzuri nani babu kubwa niiache kisa mtu home ndio pakuanzia ukiwa unajipanga kuponyoka kwende mambele huko
Kama una moyo wq chuma wewe ni exceptional. Do it now! Lakin sishauri kila mtu hili mana kila mtu kwao anapajua mwenyew ila kama kwenu direct fee imechangwa kwa mbinde na kelele kibao miksa vitisho kwa ndugu usirudi home utaenda kujinyonga bure
 
😂😂😂 kuna wataasisi
Usijichanganye mkuu, utaishia kulia!. UkizLiwa familia za kipato kidogo ujue ukifika home utaanza kuangaliwa hata kama huna mipango. Kuna dogo mmoja humhum jina nimemsahau alnichek na kunieleza ya kwao. Ofkoooz dogo mpaka mda huu nimegundua ana psychosis.

Yani mzaz katia hela dogo kakosa ajira, mzaz kakopa tena kapiga post graduet na kakosa tena. Sahiv hali si shwar yan kwa namna aliyokutana nayo hata kama ni wewe hauwez kuwa sawa mentally
 
Ni mtihani kwa kweli, asiache kupambana ipo siku mambo yatajipa
 
Kipindi anakula yamini y hili kuwa sio wa bei ndogo asiwe tegemez kwa watu wengine. Mpaji Mungu hujambo?

Yes anabidi kutazama momentum na sio speed

Ila kitendo chakutoka chuo na kutaka 300k means jamaa anajichukulia powah Sana at least angesema 1M

Unajua most of the time you become what. You think.

Asjichukilie powah ni bora aseme ntafanya kazi Ila asjiwekee viwango vidogo.
 
Back
Top Bottom