Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.
Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara".
Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye mikutano ya hadhara tena mbele ya kamera. Mfano "watu watakunywa mkojo wako?" Kama huwezi kulipia "beba mav* yako".
Mungu akaona isiwe tabu. Akazisikia sala za watanzania na kuchukua hatua. Kiulaini akatuondolea adha na shida ile.
Ndipo sasa ninasema MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU.