Kila nikikumbuka Machi 17, 2021 naishia kusema acheni Mungu aitwe Mungu

Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.

Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara".

Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye mikutano ya hadhara tena mbele ya kamera. Mfano "watu watakunywa mkojo wako?" Kama huwezi kulipia "beba mavi yako".

Mungu akaona isiwe tabu. Akazisikia sala za watanzania na kuchukua hatua. Kiulaini akatuondolea adha, shida na laana ile.

Ndipo sasa ninasema MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU.
Tungeteseka sana ila Mungu alituhurumia.
 
Hakika Mungu wetu ni Mwema sana,kutuondolea fashisti na dhalim lile bila hata tone la damu kumwagika.
 
Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.

Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara".

Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye mikutano ya hadhara tena mbele ya kamera. Mfano "watu watakunywa mkojo wako?" Kama huwezi kulipia "beba mavi yako".

Mungu akaona isiwe tabu. Akazisikia sala za watanzania na kuchukua hatua. Kiulaini akatuondolea adha, shida na laana ile.

Ndipo sasa ninasema MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU.
Unashangilia kifo
 
Watu walikuwa wamechoka kupoteza ndugu na mali zao kwa kutekwa na kuporwa.

Watu walikuwa wamechoka kwa ubaguzi wa kisiasa. Kulikuwa na kauli za kijinga kama "mkimchagua mpizani sileti maji ama sijengi barabara".

Watu walichoshwa kusikia ama kuona kiongozi wa kitaifa akitoa matusi mazito kwenye mikutano ya hadhara tena mbele ya kamera. Mfano "watu watakunywa mkojo wako?" Kama huwezi kulipia "beba mav* yako".

Mungu akaona isiwe tabu. Akazisikia sala za watanzania na kuchukua hatua. Kiulaini akatuondolea adha na shida ile.

Ndipo sasa ninasema MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU.

Amina, Mungu ni mwema.
 
Nape alisema "Mungu alimaliza ugomvi"
 
Unamaanisha nn?
Nyerere, mkapa na Magufuli kwa mtazamo wangu hawajapishana sana kiuongozi hasa kimisimamo,kutoyumbishwa kwa namna yoyote hali kadhalika hata mkwere, mwinyi na Samia pia hawatofautiani sana aina ya uongozi wao ukizingatia wote wanatoka ukanda wa pwani
 
Kama Mungu ndie aliyemuondoa bwana yule, basi Ashukuriwe sana. Ila Kama ni binadamu ndie aliyemuondoa basi binadamu huyo alaaniwe na ashughulikiwe,

No matter what..hakuna binadamu mwenye haki ya kuhukumu au kutoa uhai wa binadamu mwenzie
 
Mimi nilizipata taarifa za kifo cha huyo Mwendakuzimu kwa kupigiwa siku na ndugu yangu,muda huo nilikuwa nafatilia mkeka wangu wa betting uliokuwa umeshanipa pressure tayari. Nilivunga kuumia ila kimoyo moyo nilifurahi mno (sikutaka kudhihirisha furaha yangu maana sikutaka kumuumiza yule ndugu yangu aliyekuwa pro-Magufuli), ila siku ilipokata nilipiga kelele za furaha hadi wife akaamka kuuliza kulikoni.
 
Kweli maombi ya wengi Mungu huyafanyia kazi..haraka mnooo..
Achen Mungu aitwe mungu
 
Back
Top Bottom