Kila nikikumbuka Machi 17, 2021 naishia kusema acheni Mungu aitwe Mungu

Tungeteseka sana ila Mungu alituhurumia.
 
Hakika Mungu wetu ni Mwema sana,kutuondolea fashisti na dhalim lile bila hata tone la damu kumwagika.
 
Unashangilia kifo
 

Amina, Mungu ni mwema.
 
Nape alisema "Mungu alimaliza ugomvi"
 
Unamaanisha nn?
Nyerere, mkapa na Magufuli kwa mtazamo wangu hawajapishana sana kiuongozi hasa kimisimamo,kutoyumbishwa kwa namna yoyote hali kadhalika hata mkwere, mwinyi na Samia pia hawatofautiani sana aina ya uongozi wao ukizingatia wote wanatoka ukanda wa pwani
 
Kama Mungu ndie aliyemuondoa bwana yule, basi Ashukuriwe sana. Ila Kama ni binadamu ndie aliyemuondoa basi binadamu huyo alaaniwe na ashughulikiwe,

No matter what..hakuna binadamu mwenye haki ya kuhukumu au kutoa uhai wa binadamu mwenzie
 
Mimi nilizipata taarifa za kifo cha huyo Mwendakuzimu kwa kupigiwa siku na ndugu yangu,muda huo nilikuwa nafatilia mkeka wangu wa betting uliokuwa umeshanipa pressure tayari. Nilivunga kuumia ila kimoyo moyo nilifurahi mno (sikutaka kudhihirisha furaha yangu maana sikutaka kumuumiza yule ndugu yangu aliyekuwa pro-Magufuli), ila siku ilipokata nilipiga kelele za furaha hadi wife akaamka kuuliza kulikoni.
 
Kweli maombi ya wengi Mungu huyafanyia kazi..haraka mnooo..
Achen Mungu aitwe mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…