Ben Saanane hakutoa siri yoyote bali alihoji tu uhalali wa Ph.D iliyopasa kusomewa miaka 5 lakini mwamba yeye kaipata ndani ya miaka 3! Akahoji pia andiko la Ph.D kutoonekana maktaba kama ilivyo ada. Mara jamaa kapotea hadi leo! Bila shaka mwamba alikuwa na cheti feki!