Hilo Sio Swali La kumuuliza MTU, Unless Uwe Unamtaka... Mimi Dada Kila siku Ananiambia "Umri Unaenda, Umri Unaendaa " Huwa Nakaa Namuangalia weeh, Hajui Mdogo wake Nisingekuwa na Tatizo La Usikivu Basi Huenda ningekuwa Mbali kiuchumi, Maana Nakosa Fursa Nyingiii Sana....
Kuna Siku Aliropoka Tenaa Nikamwambia "Nipe Mtaji" Hakunijibu Tena 😂