Kila nikilala nae tu, kesho yake napigiwa simu ya dili la hela

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule.

Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani.

Kuna mademu wana kisimati sana usione tumewang'ang'ania wakati hawana mvuto.

Uzuri ni kwamba kila nikipiga dili sisahau kuutumia muhamala huo msukule wangu Deborah.
 
Mkuu we kula tu hilo guluguja lako sisi wala hatuna shida ya kujua ni kwanini umeling'ang'ania pamoja na kwamba halina mvuto πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mkuu we kula tu hilo guluguja lako sisi wala hatuna shida ya kujua ni kwanini umeling'ang'ania pamoja na kwamba halina mvuto πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kuna vitu havielezekiπŸ˜€πŸ˜€
 
pole sana broo, najua huwa wanakuwa na changamoto kubwa mno ila jitaidi, kumpa fungu la kumi wakati wa mafanikio ya nyota lake
 
Pole sana mkuu!ungeowa kabisa huo msukule according to you ili uwe bilionea kabisa
 
Deborah mwenyewe sasa
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20220716-141850_Twitter.jpg
    32.9 KB · Views: 10
Ushirikina upo wakuu,
Kuna ex wangu mmoja nae Alikua hivo hivo,
Kuachana na kero za kutembea bila kuoga, ikabd niwe nachanganya squirt lake kwenye rosheni kisha najipaka mwili mzima baada ya kuoga ndo naenda kwenye mishe zangu
 
Output yake ni nini nipe uziefu ... mkuu
 
Ushirikina upo wakuu,
Kuna ex wangu mmoja nae Alikua hivo hivo,
Kuachana na kero za kutembea bila kuoga, ikabd niwe nachanganya squirt lake kwenye rosheni kisha najipaka mwili mzima baada ya kuoga ndo naenda kwenye mishe zangu
Ebwana wee hii kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…