- Thread starter
- #41
Still ataongea pumba tu kwa sababu kichwani hamna kituYawezekana wala sio m'bovu.
Tatizo kuna mtu unaogopa hata kumtambulisha kwa watu mana anoaongea hovyo hachagui aongee nini na wapi yaaani anajiropokea tu.
Yaani hawezi kunyamaza hata kama hawajui ataongea tu na akiongea unaweza tamani ukimbie au ujifiche.
Inshort hana staha wala adabu.
Yawezekana ndio alichomaanisha.