kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Jamaa anazingua sansImajin😓😓😓
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anazingua sansImajin😓😓😓
Sasa muoe ili upate dili kika ukim tombaHuyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule.
Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani
Kuna mademu wana kisimati sana usione tumewang'ang'ania wakati hawana mvuto.
Uzuri ni kwamba kila nikipiga dili sisahau kuutumia muhamala huo msukule wangu Deborah
Itabidi iwe hivyoSasa muoe ili upate dili kika ukim tomba
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu we kula tu hilo guluguja lako sisi wala hatuna shida ya kujua ni kwanini umeling'ang'ania pamoja na kwamba halina mvuto [emoji38][emoji38][emoji38]
AhaaaNiunganishe nae hata mwezi mmoja tu, nitakugawia commission
Hamna we amini tu hii kitu ni realUsipolala na huyo mwanamke huwa haupati kabisa madili ya pesa?
Pengine hakuna uhusiano wowote kati ya madili unayopata na huyo mwanamke. Wewe tu ndo unaconnect.
Basi ni jini zuriJini hilo
Haya mambo yapo sana tuHaya mambo haya,
Acheni tu,
Mm nikigonga demu lazima apate kismati kwa kila jambo analofanya, hata kama anajiuza.
Ila mm nishapigw mikosi ya hatari sana,
Kuna demu mmoja kama naon ana kismati hiv,
Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule.
Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani
Kuna mademu wana kisimati sana usione tumewang'ang'ania wakati hawana mvuto.
Uzuri ni kwamba kila nikipiga dili sisahau kuutumia muhamala huo msukule wangu Deborah
Una uzuri gani wewe kiandeSura mbovu na shapeless huwa ndiyo wanadumu kwenye mahusiano. Lkn siyo mtu kama mm natafutwa na kila mwanaume, nina uzuri wa Cleopatra (25 BC) nigande na jitu moja tu. Never ever!
Ahaaa safi sana mkuu,mi pia huu mzigo siuachii hata kidogoni kweli asilimia 200%
demu ukiwa nae ukiona pesa inajileta tu tupa ndani oa kabisa na uhakikishe umezaa nae mtoto utaogelea mapesa tu siku zote daima hutafilisika ila huwa na wao wanazilamba mno pesa zako usijali wala usimshtue usimdharau na usimuache komaa nae japo atakuwa msumbufu sana we potezea, kula mzigo kula hela tu mengine potezea!!
I speak from personal experience kuna mzigo niko nao ten years nakula pesa tu kiulaini mzigo siuachi ila nawenyewe unazitafuna pesa zangu kama mchwa na sijali si zinaingia!! kazi yangu moja tu kumsifia kuwa yeye ni mzuri balaa huu mwaka wa kumi sijaacha mi najua kila akifurahi kusifiwa mi napiga hela!!
Malegend tu ndio wanajua ukweli wa hii kitu
Kama hujaugonga sio demu wakoNiluupata kama huo wako.
Sema mimi sijamgonga