Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Haki kaka mchawi wewe mbona unaua sana.

Huyu wa sasa a anavuruga firigisi,kongosho,bandama,Utumbo,ini nyongo zangu kwa pamoja.nimeamuanistik na huyu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…chizi kabisa ujue
We familia tumeamua tumuachie Mungu aseme na kiumbe chake maana hayo maneno hayajaanza leo!.. ngoja mi nikapige safari lager zangu zinisafirishe kwa beki tatu Tena na leo kila mmoja na asimamie dhambi zake..๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†kaka una akili mbovu sana๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†haki nimekushindwa
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†kaka una akili mbovu sana๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†haki nimekushindwa
Bora Mimi umenishindwa wewe tumekushindwa! Tumemuachia sir God kiumbe chake apambane nacho..

NB; mwambie beki tatu Leo asibane mlango Kama jana nilipata tabu sana kumfikia nilijibamiza mlangoni mpk unundu..๐Ÿ˜…
 
Hakyamama nimecheka kishambenga sijapata ona.

Nitamwambia ili upate kusafisha rungu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†brother wewe ni chizi kabisa y๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Hello hello watu wangu wa nguvu mambo vipiiiii...๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Natumai mko salama sana na mnaendelea vizuuuriii kabisa ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ.

Nirudi kwenye kichwa cha habari sasa๐Ÿ˜๐Ÿ˜..
Aise wakuu bhana kila nikinywa kilevi chochote hata kama ni kidogo kiwe ni cha moto(room temperature)au cha baridi basi kesho yake ni lazima nipate mafua makali mnooooo Mpka naogopa mjue๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nimevumilia kwa muda lkni wapi.mwenye aliyekuwa na hali kama hii na akapata kupona naombeni mniambukize huo upako wa tiba jamaniโ˜น๏ธโ˜น๏ธ

Hazard CFC brother wa nyumbani kabisa naomba unitafutie mitishamba hii hali inanitishia ujue aiseh ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Na wengine woooooootee.

Kama uko karibu,,niko na juice ya mango mixed passion hapa karibuni sana wapendwa katika bwana ๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚

Uzi tayari ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ
Immune au kinga ya mwili wako iko chini. Shughulika na immune boosters kwa muda huku ukiacha kumbe kwanza. Kwa uhakika nenda hospital omba wajifanyie full blood picture utakuta cells linda mwili ziko chini kidigo au kwenye boarder line.
 
Asante mkuu ubarikiwe nitalifanyia kazi.nakuahidi.ubarikiwe sana leo na hata milele
 
Hakyamama nimecheka kishambenga sijapata ona.

Nitamwambia ili upate kusafisha rungu ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†brother wewe ni chizi kabisa y๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hakikisha unamsimamia asifunge maana naingiaga kwa spidi sana! Ndo nipo safari park ya kwanza we haya mambo huyawezi tuachie wenye fani zetu dada..๐Ÿ˜‹
 
Back
Top Bottom