Kila nikimuangalia Charity Ngilu huwa ananivutia sana msema kweli mpenzi wa Mungu

Sijaweka ya Tulia Ackson ambayo huwa nawatishia watoto ili wakalale mapema.
Hapa siulikuwa unaongelea warembo sasa picha za kutisha zanini weka picha yake tumuone huyo mrembo
 
Halafu anapenda vijana ashakutwa na scandal ya kukutwa parking lot na bwamdogo in a compromising situation!
 
Mkuu andiko lako hili alistahili alione na kulisoma huyo Charity wako umpendaye.
M/Mungu wanaume alituwekea vikwazo vya kila aina kwenye mahaba ama namna ya kupenda na kutamani mwanamke!

Wewe unadatishwa na macho yake ya mlazo, wengine mpaka aone na wowowo la kihasara, ama rangi ya ngozi ya mtume, ama mwanya!
Wengine sauti tu zinatutoa pangoni.
Maajabu ya kuumba ya Mwenyezi Mungu haya wallah!
 
Mtoto Sabina Chegge lazima nimfate Nairobi nipige!

Lazima apigwe tu hamna namna!

View attachment 1202784
Teh teh teh. Halafu njemba zote zinasorolea, huku kila mmoja akijifanya hajali na hana mpango.

Hizo hila zao huyo mwanamke kazielewa,
ndiyo atembeeje kwa manjonjo na madaha?
Wanaume tuna udhaifu wa kuadhibiwa na mengi!

Ukute saazingine mtu anabishi kimoyomoyo akipinga ufundi wa muumba..'haiwezekani, hilo lote ni la kwake!'....M/Mungu atuhurumie.
 
Acha niishie hapa kwa leo

Wezeree kaa looote 😒
Mabroo mnafaidi mengi 😭😭

 
NAHISI MTOA MADA PUNGU TWO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…