GE2025 Kila nikiona wananchi wa Ruangwa wanavyomshangilia Samia naishiwa pawa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
502
Reaction score
1,141
Dah.. Japo mimi ni Mngoni ila nachukulia sana Ruangwa ndio kwetu, maana nimezaliwa na kukulia huku; hadi leo hii nina miaka 19, familia yetu haijawahi kuhama Ruangwa

Huku wanashangilia sana CCM kwa sababu kipindi cha Magufuli, Majaliwa alijitahidi kuleta maendeleo lakini wananchi hawaelewi kwamba hayo maendeleo yaliletwa kwa sababu ya Majaliwa, sio kwa sababu CCM inajali sana Ruangwa

Tangu nimezaliwa Ruangwa kuna shida ya maji na serikali haikuwa hata na mpango. Hadi leo hii 2025 huku maji ni shida, yakijitahidi yanatoka mara mbili kwa wiki. Siku nyingine yanatoka maji machafu tena mekundu kabisa. Maji yenyewe ya chumvi ila wanatubania kinoma. Huku bila kisima hutoboi
Kuna muda mnakaa wiki nzima maji hayatoki
Halafu mwaka 2023 Rais Samia alikuja Ruangwa eti wananchi wakamwambia hatuna changamoto 😥

Yani mpaka leo, Ruangwa bila Majaliwa ingekuwa mbovu zaidi ya sasa

Na sasahivi Majaliwa anaachia madaraka, hamna tena atakayeikumbuka Ruangwa. Huku maendeleo ya kawaida sana (ambayo kwenye mikoa na wilaya nyingi za Tanzania waliyapata kitambo) ila huku Ruangwa ndio imetumika kupumbaza wananchi kwamba CCM inawajali

Hii wilaya tayari imeshakuwa Pro CCM na leo Rais anakuja huku, wananchi wamefurika kwenda kusikiliza uongo wao kwenye siasa bila kujua kuwa ndio mwisho wa maendeleo, masikini ya Mungu.

Majaliwa anatoka madarakani, so no one cares about Ruangwa anymore. Natamani wananchi wangeliona hili wakatae wahuni mapema.
Kuna muda namuomba Mungu ukubwani niwe na hela nije kuinvest wilayani kwetu mwenyewe.
Huku kwetu kila kitu tupo nyuma, licha ya miaka 60 ya uhuru na wananchi hata hawajali 😥😥
 
MImi binafsi nimerudi kwenye ile hali ya kubagua wana CCM kama ilivyokua 2010 - 2015, nikiona hata mtu wangu wa karibu anajihusisha na CCM ama kuiunga mkono automatically anaingia kwenye black list, tutaishia kuchekeana kwa nje tu ila siwezi kushiriki jambo lake lolote
 
Nilipita ruangwa two months ago, mchana kweupe saa 7 eti hakuna usafiri tusubiri guta moja linaenda pale mbele ya njia panda ya mandawa kule mto mbwemkuru lijae jae ndo tuondoke.
20250525_131026.jpg

Bahati jamaa mmoja akaniona nina heshima zangu akaniambia kuna dogo ana pikipiki anaenda huko kakae kule mbele abiria wenzio wasikuone, ndo nikawekwa katikati ya mtu na kiroba cha mahindi ikawa pona yangu nisinyooshe miguu kwenye guta.
 
Watanzania wanahitaji kukombolewa kifikra kwanza. Wengi wao wamezoea na wameridhika kuishi kwenye umasikini. Hawafikirii mbali
Mkuu,

Demokrasia ni kila mtu achague chama anachoona yeye kinafaa. Wenzio wameamua kuchagua CCM (kwa sababu yeyote ile) waheshimu usidhani hawana akili. Kama wewe ulivyochagua Chama kingime (kwa sababu zozote zile)

Demokrasia ni kuheshimu mawazo na chaguzi za wengine. Africa tuna tatizo la kutokujua mipaka ya demokrasia. Sio kw achama tawala au upinzani...
 
Tanzania hakuna demokrasia bali kuna maigizo
 
Na hayo maigizo ni kwa pande zote mbili - Chama tawala na Upinzani. Yaani mdani ya mioyo yetu hatuamini katika demokrasia ila tunataka demokrasia. Ndiyo maana ni rahisi kuwabeza wemgine wanaochagua tusichokiamini.

Tanzania hakuna demokrasia wenye akili na werevu wanalifahamu hili na wala haihitaji mabishano
 
Tumia akili hayo ni mambo yaliyo pangwa siyo kwamba wanamshangilia ....hspo zinatengenezwa video ...Samia anaogopa Sana wananchi wa kawaida ....ndiyo maana anasafiri na watu elfu 2000 kwenye kila mkutano
Dah.. Japo mimi ni Mngoni ila nachukulia sana Ruangwa ndio kwetu, maana nimezaliwa na kukulia huku; hadi leo hii nina miaka 19, familia yetu haijawahi kuhama Ruangwa
View attachment 3478167
Huku wanashangilia sana CCM kwa sababu kipindi cha Magufuli, Majaliwa alijitahidi kuleta maendeleo lakini wananchi hawaelewi kwamba hayo maendeleo yaliletwa kwa sababu ya Majaliwa, sio kwa sababu CCM inajali sana Ruangwa

Tangu nimezaliwa Ruangwa kuna shida ya maji na serikali haikuwa hata na mpango. Hadi leo hii 2025 huku maji ni shida, yakijitahidi yanatoka mara mbili kwa wiki. Siku nyingine yanatoka maji machafu tena mekundu kabisa. Maji yenyewe ya chumvi ila wanatubania kinoma. Huku bila kisima hutoboi
Kuna muda mnakaa wiki nzima maji hayatoki
Halafu mwaka 2023 Rais Samia alikuja Ruangwa eti wananchi wakamwambia hatuna changamoto 😥

Yani mpaka leo, Ruangwa bila Majaliwa ingekuwa mbovu zaidi ya sasa

Na sasahivi Majaliwa anaachia madaraka, hamna tena atakayeikumbuka Ruangwa. Huku maendeleo ya kawaida sana (ambayo kwenye mikoa na wilaya nyingi za Tanzania waliyapata kitambo) ila huku Ruangwa ndio imetumika kupumbaza wananchi kwamba CCM inawajali

Hii wilaya tayari imeshakuwa Pro CCM na leo Rais anakuja huku, wananchi wamefurika kwenda kusikiliza uongo wao kwenye siasa bila kujua kuwa ndio mwisho wa maendeleo, masikini ya Mungu.

Majaliwa anatoka madarakani, so no one cares about Ruangwa anymore. Natamani wananchi wangeliona hili wakatae wahuni mapema.
Kuna muda namuomba Mungu ukubwani niwe na hela nije kuinvest wilayani kwetu mwenyewe.
Huku kwetu kila kitu tupo nyuma, licha ya miaka 60 ya uhuru na wananchi hata hawajali 😥😥
 
Mkuu,

Demokrasia ni kila mtu achague chama anachoona yeye kinafaa. Wenzio wameamua kuchagua CCM (kwa sababu yeyote ile) waheshimu usidhani hawana akili. Kama wewe ulivyochagua Chama kingime (kwa sababu zozote zile)

Demokrasia ni kuheshimu mawazo na chaguzi za wengine. Africa tuna tatizo la kutokujua mipaka ya demokrasia. Sio kw achama tawala au upinzani...
Unaelezea vipi tukio la wana Ruangwa kumwambia Samia kuwa hatuna changamoto 😔
 
Maeneo kama hayo ujinga bado umeshamiri kwa kasi na ndio CCM wanapenda hivyo.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Nilipita ruangwa two months ago, mchana kweupe saa 7 eti hakuna usafiri tusubiri guta moja linaenda pale mbele ya njia panda ya mandawa kule mto mbwemkuru lijae jae ndo tuondoke.View attachment 3478180

Bahati jamaa mmoja akaniona nina heshima zangu akaniambia kuna dogo ana pikipiki anaenda huko kakae kule mbele abiria wenzio wasikuone, ndo nikawekwa katikati ya mtu na kiroba cha mahindi ikawa pona yangu nisinyooshe miguu kwenye guta.
😂😂😂😂😂😂
 
Wanashangilia vitenge, vilemba na kofia, hapo wananuka umasikini hatari.
Yaaan vijana wakipewa tisheti, na buku ya kununua kitoko, bas wamemaliza.
😂😂😂😂😂
 
Harmonize jukwaani
Akitoka hapo anakadandia katoto ka kimakonde kenye mk uliovimba
 
Hatari sana kiwango cha ujinga cha wa tz ni asilimia 95 ila ccm nao wako dhohofu san maana magari yaliyotutusa watu kuwatoa liwale masasi lindi ni weng sana nami nipo hapa uwanja wa maonyesho nna hasira natamani niwe hamza
 
Back
Top Bottom