Kila nikipata mpenzi au mchumba mpya kama hana kazi ndani ya wiki mbili tu anapata kazi nzuri

nimegaili siwezi kuweka kiharage rehani nimekatazwa😅😅
😀😀😀 we endelea kukaa nyumbani kizembe(jobless) wakati solution nipo hapa.

Wangapi umewapa na haujapata connection? Kilete kwangu kwa faida ukapate mshahara monono.
 
mi bado mtoto sijaanza kukigawa am soreee
 
Back
Top Bottom