Dah,Hellow wana JF
Aisee wakuu
Kila nikipata mpenzi mpya kama hana kazi basi fasta sana ndani ya wiki 2 tu anapata kazi tena kazi ya mshahara mnono
Tangazo limekaa kimkakati,Hellow wana JF
Aisee wakuu
Kila nikipata mpenzi mpya kama hana kazi basi fasta sana ndani ya wiki 2 tu anapata kazi tena kazi ya mshahara mnono
Upumbavu huuSawa basi naomba ukumbuke ujumbe huu just incase umepoteza kazi au unahitaji kazi nyingine nzuri yenye mshahara mnono nipo hapa.
Tanguliza hela mbele kama Tai.Inaombwaje mkuu nipe Darasa.
Huu mtego wako ungekuja nao miaka ya 90s ungewasomba sana,Kazi ndiyo muhimu Mkuu hata tukiachana ataendelea kuingiza pesa so akili kumkichwa kwao.
Sisi tunasubiri tu kwenye uzi wa rickboy wa mtu kuliwa kimasihara.Nahitaji kupata kazi TRA yenye mshahara mnono.
Nakuhitaji.
ok!!! Umeanza lini kutoa huduma hii kwa mabinti?Mkuu ni furaha kwangu kuona binti aliyekuwa jobless kupata kazi ya mshahara mnono. So napata furaha sana.