Kila nikipata mpenzi au mchumba mpya kama hana kazi ndani ya wiki mbili tu anapata kazi nzuri

Kila nikipata mpenzi au mchumba mpya kama hana kazi ndani ya wiki mbili tu anapata kazi nzuri

Hapana nakaa kazini sina haja ya usafiri
Sawa basi naomba ukumbuke ujumbe huu just incase umepoteza kazi au unahitaji kazi nyingine nzuri yenye mshahara mnono nipo hapa.
 
Hellow wana JF

Aisee wakuu

Kila nikipata mpenzi mpya kama hana kazi basi fasta sana ndani ya wiki 2 tu anapata kazi tena kazi ya mshahara mnono
Naona mtaani kwenu hakuna jobless hata mmoja.
Wote wametajirika baada ya kuwapatia KAZI nono.
 
Back
Top Bottom