Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Black is beautiful, akikuambia hivyo we mfurahie na ikiwezekana mjibu kwa bashasha tu.Habari Wakuu,
Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.
Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo moja ambalo huwa analifanya na linanikwaza sana na kuninyima amani, yaani kila nikipost picha yangu Instagram au hata nikiweka status lazima ata-comment "Cheusi Mangala".
Siwezi kukataa rangi yangu kwamba mimi ni mweusi ila sasa ndo mtu uje kila post unacomment neno hilo hilo jamani kweli?
Nimewahi kumwambia kuhusu hiyo tabia lakini bado anaendelea sijui anahisi ni utani wakati mimi inaninyima amani kuna muda nashindwa hata kupost nikiwaza atakuja pale kukoment huo upuuzi.
Sidhani kama ni sawa, inaninyima amani
Habari Wakuu,

sawaBlack is beautiful, akikuambia hivyo we mfurahie na ikiwezekana mjibu kwa bashasha tu.
Akiona hu-react vibaya ataacha.
okaayyyBlack is beautiful, akikuambia hivyo we mfurahie na ikiwezekana mjibu kwa bashasha tu.
Akiona hu-react vibaya ataacha.
Mungu ni fundi Mkuusawa
Uyo jirani n jinsia Gani na wewe pia una jinsia Gani?Habari Wakuu,
Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.
Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi yangu na mimi nafahamu kazi yake pia tumefollow each other kwenye mitandao ya kijamii. Ila kuna jambo moja ambalo huwa analifanya na linanikwaza sana na kuninyima amani, yaani kila nikipost picha yangu Instagram au hata nikiweka status lazima ata-comment "Cheusi Mangala".
Siwezi kukataa rangi yangu kwamba mimi ni mweusi ila sasa ndo mtu uje kila post unacomment neno hilo hilo jamani kweli?
Nimewahi kumwambia kuhusu hiyo tabia lakini bado anaendelea sijui anahisi ni utani wakati mimi inaninyima amani kuna muda nashindwa hata kupost nikiwaza atakuja pale kukoment huo upuuzi.
Sidhani kama ni sawa, inaninyima amani
SwadaktaTafuta huo muziki wa cheusi mangala usikilize kwa makini, sijui aliimba nani huko miziki ya zamani, utaelewa ujumbe anaokuja. Kama ni jirani yako ameona afikishe ujumbe kwa njia hiyo.