Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,398
Reaction score
2,619
Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.

Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.

Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.

Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.

Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.

Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.

4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.

Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
 
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??

Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.

Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.

Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.
 
Hakuna popote Sukuma gang anewahi kuwa na huruma, si maofisini, biashara au kwenye siasa. Tusidanganyane.
 
Bivi una akili timamu kabisa au una shida kidogo kichwani.

Kwanza wewe ni mwongo mkubwa!! Lisu hakuwahi kusafiri kwenda nje eti kuicjafua Tanzania. Huo ni uwongo mkubwa.

Lisu alimtahadharisha Rais Magufuli kuwa alichokuwa amekifanya, kuzuia makinikia pamoja na kufuta leseni za utafiti wa mafini za makamouni ya kigeni, ilikuwa inaenda kuligharimu Taifa kwa sababu ilikuwa ni kinyume cha mkataba ambao nchi ilikuwa imesaini kuhusiana na masuala ya uwekezaji. Na akasema kuwa tutashitakiwa MIGA, na kulipishwa mamia ya dola. Na akashauri kuwa labda kwanza nchi ingejitoa kwenye WTO.

Na alichokuwa amesema ndiyo kimekuja kututokea. Nchi imeshtakiwa na makampuni kadhaa, tumelipa mamia ya mamilioni ya dola. Kwa upande wa Barrick, makinikia yao tuliwarudishia, na kulazimika kusaini mkataba mpya ambao sasa unaizuia Serikali, hata kukiwa na mgogoro, kuzuia uuzwaji wa makinikia.
 
Lisu hahitaji kuonewa huruma na karumekenge kama ww
 
Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.
Kamanda msaliti huyo. Kumhurumia ni matumizi mabaya ya huruma
 
Jiambie kabisa kwamba Una roho ya kichawi, hebu tuambie wewe sasa hivi hao acacia na Barrick wako wapi? Je, ni Lissu ndo aliwabakiza hapa nchini na kuwachimbisha madini?
 
Sio shida fanya mengine tu, dunia ina mambo chungu nzima ya kufanya na bahati nzuri sana Simba hahitaji huruma ya mtu wala shetani, so acha kujipendekeza tafuta ugali wa wanao (kama unao) ya wanaume achia wanaume!
 
Mpaka Sasa naona mleta mada hujajibiwa zaidi ya matusi tu. Endelea kusubiri labda yatatokea maajabu (ingawa Nina mashaka sana) atatokea nyumbu mmoja atajibu kitu Cha maana kidogo.
Binafsi naunga mkono, kale kajamaa hakafai kabisa, ni kibaraka live.
 
Bivi una akili timamu kabisa au una shida kidogo kichwani.

Kwanza wewe ni mwongo mkubwa!! Lisu hakuwahi kusafiri kwenda nje eti kuicjafua Tanzania. Huo ni uwongo mkubwa.

Lisu alimtahadharisha Rais Magufuli kuwa alichokuwa amekifanya, kuzuia makinikia pamoja na kufuta leseni za utafiti wa mafini za makamouni ya kigeni, ilikuwa inaenda kuligharimu Taifa kwa sababu ilikuwa ni kinyume cha mkataba ambao nchi ilikuwa imesaini kuhusiana na masuala ya uwekezaji. Na akasema kuwa tutashitakiwa MIGA, na kulipishwa mamia ya dola. Na akashauri kuwa labda kwanza nchi ingejitoa kwenye WTO.

Na alichokuwa amesema ndiyo kimekuja kututokea. Nchi imeshtakiwa na makampuni kadhaa, tumelipa mamia ya mamilioni ya dola. Kwa upande wa Barrick, makinikia yao tuliwarudishia, na kulazimika kusaini mkataba mpya ambao sasa unaizuia Serikali, hata kukiwa na mgogoro, kuzuia uuzwaji wa makinikia.
Mleta mada ni mpumbavu anadhani watu wote ni chekechea, ahsante kwa kumuumbua
 
Bila ya kusahau matusi yake kila uchao kabla hata ya shambulizi lake.

Dikteta uchwara huyu, anaua democracy sijui mshamba kiko wapi.

Kipindi hiki 2020 kipenga cha ruhusa ya mikutano ya campaign kilishapigwa zamani mwezi wa sita.CDM walikuwa wanadhurura nchi nzima wakikosoa serikali kwa kujiachia tu.

Lissu alikuwa na bodyguards wa serikali full time, misafara yake inafunga njia wafuasi wa CDM wanaingia barabarani wala hakuna virungu.

Leo hata ofisi wanagombea, viongozi wamekuwa wanaharakati wamefungiwa siasa, ofisi hawana mpaka mgogoro wa kutunga uishe.

Lissu mwenyewe yupo jela kwa kesi isiyokuwa na kichwa wala miguu, pamoja na ujeuri wake kibinadamu wengi kwa sasa tunamhurumia.

Shida yake ni kushinda kwenye social media anakuwa gassed-up na wanaharakati serikali inatishiwa nyau kirahisi na wazungu anaowategemea.

Kiko wapi ndio kwanza hawana habari nae; wote watęsi wake serikali wanafanya udhalimu wao live kila mtu aone; na wazungu wapo busy na mambo mengine huko duniani.
 
CCM fanyeni kupeleka chawa wenu shule ili hoja zao ziwe na mshiko aisee sio mnaishia kuwapa buku sabasaba hapo Lumumba.
 
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??

Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.

Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.

Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.
Kuna watu wala hawajui chochote kinacho endelea nchini yeye ni kuharisha tu yaani bado tunasafari ndefu sana tena unaweza kuta ni msomi
 
Back
Top Bottom