Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

Hakuna mtu mpumbavu km huyo Lissu.
Akiwa mbunge huko kwao hajafanya lolote miaka na miaka.
Kamtukana Magu mchana kweupe.
Kapigwa sindano, huyo mbio ukimbizini Belgien hapajui huyo.
Kuna wa afrika toka nchi zote francofone wako hapo mjini.
Kaamua kurudi sawa ni maamuzi yake,
Yuko Chandema inauliwa mkono i kwake.
Ye mahakamani kila siku,
Kuna video watu wanasema kasukumwa kaanguka.
Hapana, ukaidi na kutotii vyombo vya sheria we km mahabusu wengine tu.
Utafanyiwa unachotaka.
Swali gumu!
Alirudi huko kufanya nini,,?
Reform huyu haiwezi Tz hata Chandema nife hapo.
Mropokaji, mnafki, muongo, mjuaji hamjui chochote hata sheria ndogo za magereza zinamshinda.
Muulize huyo Mnyaturu lini alifika jimboni Kwa wapiga kura wake wa zamani.
The mnategemea mabadiliko na mpuuzi huyo.
 
Bivi una akili timamu kabisa au una shida kidogo kichwani.

Kwanza wewe ni mwongo mkubwa!! Lisu hakuwahi kusafiri kwenda nje eti kuicjafua Tanzania. Huo ni uwongo mkubwa.

Lisu alimtahadharisha Rais Magufuli kuwa alichokuwa amekifanya, kuzuia makinikia pamoja na kufuta leseni za utafiti wa mafini za makamouni ya kigeni, ilikuwa inaenda kuligharimu Taifa kwa sababu ilikuwa ni kinyume cha mkataba ambao nchi ilikuwa imesaini kuhusiana na masuala ya uwekezaji. Na akasema kuwa tutashitakiwa MIGA, na kulipishwa mamia ya dola. Na akashauri kuwa labda kwanza nchi ingejitoa kwenye WTO.

Na alichokuwa amesema ndiyo kimekuja kututokea. Nchi imeshtakiwa na makampuni kadhaa, tumelipa mamia ya mamilioni ya dola. Kwa upande wa Barrick, makinikia yao tuliwarudishia, na kulazimika kusaini mkataba mpya ambao sasa unaizuia Serikali, hata kukiwa na mgogoro, kuzuia uuzwaji wa makinikia.
Tanzania imeshitakiwa MIGA ya wapi?

Unajua sasa hivi asilimia inazopata Tanzania kutoka kwenye madini?
Acacia iliyokuwa inatetewa na Lisu iko wapi?
 
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??

Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.

Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.

Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.

Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.

Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.

Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.

Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.

Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.

Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.

4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.

Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
Mradi SGR umekamilika ? Wewe unaitwa maswa yetu, niambie hapo Mwanza hiyo SGR imefika au bado? sio habari za tunapanga... tutatekeleza na hadithi za alinacha... mfungulieni huyo Lissu aje awape mchakamchaka... kama hamjaomba poo...
 
Kamanda msaliti huyo. Kumhurumia ni matumizi mabaya ya huruma
Labda kama alitembea na mkeo. Lisu ni shujaa hasa, asiye mnafiki wa kusifu na kuabudu watu waliofeli kiuongozi. Huwezi kwenda kinyume na mikataba uliyosaini mwenyewe unless ujitoe kwanza ili kuepuka hasara.
 
Lissu ni Mwanasheria hata wauaji wana haki ya kupata utetezi chukia sheria
 
Mradi SGR umekamilika ? Wewe unaitwa maswa yetu, niambie hapo Mwanza hiyo SGR imefika au bado? sio habari za tunapanga... tutatekeleza na hadithi za alinacha... mfungulieni huyo Lissu aje awape mchakamchaka... kama hamjaomba poo...
Dar - Dom kwa SGR ni masaa 3 tu
 
Labda kama alitembea na mkeo. Lisu ni shujaa hasa, asiye mnafiki wa kusifu na kuabudu watu waliofeli kiuongozi. Huwezi kwenda kinyume na mikataba uliyosaini mwenyewe unless ujitoe kwanza ili kuepuka hasara.
Acacia iko wapi sasa
 
Ni kweli tundu lissu analipia laana ya kulisaliti taifa na kuusaliti uzalendo na kuwasaliti wazalendo, yeye na chadema leo wanajuta kwanini wasinge shirikiana na JPM kuliko kumpinga ...wakitumiwa na maadui wa Uzalendo ndani ya ccm kina Rostam azizi na kikwete na raia feki
Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.

Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.

Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.

Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.

Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.

Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.

4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.

Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
 
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??

Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.

Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.

Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.
Tulilipa miaka gani kipindi cha jpm au la ? Wewe ni mpumbavu ufisadi wa hivyo huwa ni mfumo ambao wapo hadi wanasiasa ...baada ya jpm kufa wanasiasa mafisadi ndiyo wanao jidai kulipa kumbe ni oesa wanayo gawana baadae
 
Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.

Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.

Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.

Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.

Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.

Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.

4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.

Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
Moyo wenyewe huohou mbovu au una mwingine!?
 
Na bahati nzuri bw Lissu kasema hatafuti huruma ya yoyote
 
Kwani kakuomba umuhurumie?, hauna mama au bibi yako uwahurumie?.
 
Bila ya kusahau matusi yake kila uchao kabla hata ya shambulizi lake.

Dikteta uchwara huyu, anaua democracy sijui mshamba kiko wapi.

Kipindi hiki 2020 kipenga cha ruhusa ya mikutano ya campaign kilishapigwa zamani mwezi wa sita.CDM walikuwa wanadhurura nchi nzima wakikosoa serikali kwa kujiachia tu.

Lissu alikuwa na bodyguards wa serikali full time, misafara yake inafunga njia wafuasi wa CDM wanaingia barabarani wala hakuna virungu.

Leo hata ofisi wanagombea, viongozi wamekuwa wanaharakati wamefungiwa siasa, ofisi hawana mpaka mgogoro wa kutunga uishe.

Lissu mwenyewe yupo jela kwa kesi isiyokuwa na kichwa wala miguu, pamoja na ujeuri wake kibinadamu wengi kwa sasa tunamhurumia.

Shida yake ni kushinda kwenye social media anakuwa gassed-up na wanaharakati serikali inatishiwa nyau kirahisi na wazungu anaowategemea.

Kiko wapi ndio kwanza hawana habari nae; wote watęsi wake serikali wanafanya udhalimu wao live kila mtu aone; na wazungu wapo busy na mambo mengine huko duniani.
Huo ni mtizamo wako ww tikiti maji
 
Back
Top Bottom