Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

Hakuna mtu mpumbavu km huyo Lissu.
Akiwa mbunge huko kwao hajafanya lolote miaka na miaka.
Kamtukana Magu mchana kweupe.
Kapigwa sindano, huyo mbio ukimbizini Belgien hapajui huyo.
Kuna wa afrika toka nchi zote francofone wako hapo mjini.
Kaamua kurudi sawa ni maamuzi yake,
Yuko Chandema inauliwa mkono i kwake.
Ye mahakamani kila siku,
Kuna video watu wanasema kasukumwa kaanguka.
Hapana, ukaidi na kutotii vyombo vya sheria we km mahabusu wengine tu.
Utafanyiwa unachotaka.
Swali gumu!
Alirudi huko kufanya nini,,?
Reform huyu haiwezi Tz hata Chandema nife hapo.
Mropokaji, mnafki, muongo, mjuaji hamjui chochote hata sheria ndogo za magereza zinamshinda.
Muulize huyo Mnyaturu lini alifika jimboni Kwa wapiga kura wake wa zamani.
The mnategemea mabadiliko na mpuuzi huyo.
Tofauti yako na konokono ni mazingira tu anayoishi.
 
Ni kweli tundu lissu analioia laana ya kulisaliti taifa na kuusaliti uzalendo na kuwasaliti wazalendo, yeye na chadema leo wanajuta kwanini wasinge shirikiana na JOM kuliko kumpinga ...wakitumiwa na maadui wa Uzalendo ndani ya ccm kina Rostam azizi na kikwete na raia feki
Uko sahihi
 
Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.

Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.

Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.

Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.

Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.

Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.

4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.

Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
Toka uhuru hasara kubwa watanzania tuliipatakwakufiwana magufuli
 
Bivi una akili timamu kabisa au una shida kidogo kichwani.

Kwanza wewe ni mwongo mkubwa!! Lisu hakuwahi kusafiri kwenda nje eti kuicjafua Tanzania. Huo ni uwongo mkubwa.

Lisu alimtahadharisha Rais Magufuli kuwa alichokuwa amekifanya, kuzuia makinikia pamoja na kufuta leseni za utafiti wa mafini za makamouni ya kigeni, ilikuwa inaenda kuligharimu Taifa kwa sababu ilikuwa ni kinyume cha mkataba ambao nchi ilikuwa imesaini kuhusiana na masuala ya uwekezaji. Na akasema kuwa tutashitakiwa MIGA, na kulipishwa mamia ya dola. Na akashauri kuwa labda kwanza nchi ingejitoa kwenye WTO.

Na alichokuwa amesema ndiyo kimekuja kututokea. Nchi imeshtakiwa na makampuni kadhaa, tumelipa mamia ya mamilioni ya dola. Kwa upande wa Barrick, makinikia yao tuliwarudishia, na kulazimika kusaini mkataba mpya ambao sasa unaizuia Serikali, hata kukiwa na mgogoro, kuzuia uuzwaji wa makinikia.
Kwa hiyo kama ni kinyume na mkataba ndio tuendelee kuibiwa Kwa kuwa watangulizi wake waliingia mikataba ya hovyo?
 
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??

Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.

Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.

Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.
Kwahiyo Lissu alifanikisha lengo lake la kuifanya Tanzania ilipe mabilioni huko alikowapigania walipwe. Ndo maana wanamlipa fadhila kwa kumpa ukimbizi na kumpigania awe Rais wao.
 
Huo ndio ukweli
 
Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.

Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.

Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.

Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.

Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.

Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.

4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.

Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
Aliwateteaje Wazungu, embu nikumbushe aliyewaita wanaume wamekuja baada ya ishu ya makinikia?
 
Lakini aliyosema si yalitokea! Huruma yako baki nayo
 
2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.

Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3.
Unachotakiwa kujiuliza kwanza, Je, walipinga kwamba haliwezi kukamilika au walitoa hoja za kutaka mradi usifanyike? Pili, je, vigezo vya kutaka mradi usifanyike vimebadilika?
 
Back
Top Bottom