Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.
Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.
Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.
Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.
Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.
Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.
4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.
Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.
Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.
Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.
Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.
Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.
Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.
4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.
Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
Lisu hahitaji kuonewa huruma na karumekenge kama wwNafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.
Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.
Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.
Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.
Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.
Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.
4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.
Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
Kamanda msaliti huyo. Kumhurumia ni matumizi mabaya ya hurumaNafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.
Jiambie kabisa kwamba Una roho ya kichawi, hebu tuambie wewe sasa hivi hao acacia na Barrick wako wapi? Je, ni Lissu ndo aliwabakiza hapa nchini na kuwachimbisha madini?Nafsi yangu inanikumbusha miaka ya 2015- 2017 jinsi Tundu Lisu alivyogeuka mwiba kwa Tanzania, akasafiri Ulaya na Marekani kote huko akichafua taifa na kuwatetea wazungu.
Tundu Lisu alitetea Acacia waziwazi bila aibu na hakuwa na Soni kuwasaliti watanzania wenzake.
Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo1. Mradi wa SGRMradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.
Sasa mradi wa SGR umekamilika na watanzania wanasafiri kwa masaa 3 tu kutoka Dodoma hadi Dares salaam! Je waliopinga huu mradi nafsi haziwasuti?2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.
Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3. Daraja la Kigongo busisiDaraja hili limekamilika kipindi ambacho magugu maji yamekuwa kero kiasi cha kuzuia vivuko na abiria kuteseka sana kwa kukaa masaa mengi kabla ya kuvuka.
Cha ajabu watanzania wenzetu walipinga mradi huu wakisema Magufuli anapendelea miradi kwa wasukuma wenzake.
4. Serikali kuhamia kwenye mji wa Magufuli Dodoma. Kwa upande wa Chadema aliyeongoza mashambulizi ya kupinga ni Freeman Mbowe akidai kuwa hilo wazo limepitwa na wakati! Lakini sasa mradi umekamilika na Serikali yote ipo Dodoma.
Je Mbowe hasutwi na nafsi anapoenda mji wa Magufuli kupata huduma?
Alikusaliti ni nini? Yote aliyoomgea kwa ushauri hakuna lililokuwa hakikitokea. Sema ni wapi alisafiri kwenda huko Ulaya.Kamanda msaliti huyo. Kumhurumia ni matumizi mabaya ya huruma
Mleta mada ni mpumbavu anadhani watu wote ni chekechea, ahsante kwa kumuumbuaBivi una akili timamu kabisa au una shida kidogo kichwani.
Kwanza wewe ni mwongo mkubwa!! Lisu hakuwahi kusafiri kwenda nje eti kuicjafua Tanzania. Huo ni uwongo mkubwa.
Lisu alimtahadharisha Rais Magufuli kuwa alichokuwa amekifanya, kuzuia makinikia pamoja na kufuta leseni za utafiti wa mafini za makamouni ya kigeni, ilikuwa inaenda kuligharimu Taifa kwa sababu ilikuwa ni kinyume cha mkataba ambao nchi ilikuwa imesaini kuhusiana na masuala ya uwekezaji. Na akasema kuwa tutashitakiwa MIGA, na kulipishwa mamia ya dola. Na akashauri kuwa labda kwanza nchi ingejitoa kwenye WTO.
Na alichokuwa amesema ndiyo kimekuja kututokea. Nchi imeshtakiwa na makampuni kadhaa, tumelipa mamia ya mamilioni ya dola. Kwa upande wa Barrick, makinikia yao tuliwarudishia, na kulazimika kusaini mkataba mpya ambao sasa unaizuia Serikali, hata kukiwa na mgogoro, kuzuia uuzwaji wa makinikia.
Kuna watu wala hawajui chochote kinacho endelea nchini yeye ni kuharisha tu yaani bado tunasafari ndefu sana tena unaweza kuta ni msomiAlichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??
Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.
Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.
Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.