Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

Hakuna mtu mpumbavu km huyo Lissu.
Akiwa mbunge huko kwao hajafanya lolote miaka na miaka.
Kamtukana Magu mchana kweupe.
Kapigwa sindano, huyo mbio ukimbizini Belgien hapajui huyo.
Kuna wa afrika toka nchi zote francofone wako hapo mjini.
Kaamua kurudi sawa ni maamuzi yake,
Yuko Chandema inauliwa mkono i kwake.
Ye mahakamani kila siku,
Kuna video watu wanasema kasukumwa kaanguka.
Hapana, ukaidi na kutotii vyombo vya sheria we km mahabusu wengine tu.
Utafanyiwa unachotaka.
Swali gumu!
Alirudi huko kufanya nini,,?
Reform huyu haiwezi Tz hata Chandema nife hapo.
Mropokaji, mnafki, muongo, mjuaji hamjui chochote hata sheria ndogo za magereza zinamshinda.
Muulize huyo Mnyaturu lini alifika jimboni Kwa wapiga kura wake wa zamani.
The mnategemea mabadiliko na mpuuzi huyo.
 
Tanzania imeshitakiwa MIGA ya wapi?

Unajua sasa hivi asilimia inazopata Tanzania kutoka kwenye madini?
Acacia iliyokuwa inatetewa na Lisu iko wapi?
 
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??

Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.

Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.


Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.
Tanzania imeshitakiwa MIGA ya wapi?

Unajua sasa hivi asilimia inazopata Tanzania kutoka kwenye madini?
Acacia iliyokuwa inatetewa na Lisu iko wapi?
 
Mradi SGR umekamilika ? Wewe unaitwa maswa yetu, niambie hapo Mwanza hiyo SGR imefika au bado? sio habari za tunapanga... tutatekeleza na hadithi za alinacha... mfungulieni huyo Lissu aje awape mchakamchaka... kama hamjaomba poo...
 
Kamanda msaliti huyo. Kumhurumia ni matumizi mabaya ya huruma
Labda kama alitembea na mkeo. Lisu ni shujaa hasa, asiye mnafiki wa kusifu na kuabudu watu waliofeli kiuongozi. Huwezi kwenda kinyume na mikataba uliyosaini mwenyewe unless ujitoe kwanza ili kuepuka hasara.
 
Lissu ni Mwanasheria hata wauaji wana haki ya kupata utetezi chukia sheria
 
Mradi SGR umekamilika ? Wewe unaitwa maswa yetu, niambie hapo Mwanza hiyo SGR imefika au bado? sio habari za tunapanga... tutatekeleza na hadithi za alinacha... mfungulieni huyo Lissu aje awape mchakamchaka... kama hamjaomba poo...
Dar - Dom kwa SGR ni masaa 3 tu
 
Labda kama alitembea na mkeo. Lisu ni shujaa hasa, asiye mnafiki wa kusifu na kuabudu watu waliofeli kiuongozi. Huwezi kwenda kinyume na mikataba uliyosaini mwenyewe unless ujitoe kwanza ili kuepuka hasara.
Acacia iko wapi sasa
 
Ni kweli tundu lissu analipia laana ya kulisaliti taifa na kuusaliti uzalendo na kuwasaliti wazalendo, yeye na chadema leo wanajuta kwanini wasinge shirikiana na JPM kuliko kumpinga ...wakitumiwa na maadui wa Uzalendo ndani ya ccm kina Rostam azizi na kikwete na raia feki
 
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??

Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.

Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.


Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.
Tulilipa miaka gani kipindi cha jpm au la ? Wewe ni mpumbavu ufisadi wa hivyo huwa ni mfumo ambao wapo hadi wanasiasa ...baada ya jpm kufa wanasiasa mafisadi ndiyo wanao jidai kulipa kumbe ni oesa wanayo gawana baadae
 
Moyo wenyewe huohou mbovu au una mwingine!?
 
Na bahati nzuri bw Lissu kasema hatafuti huruma ya yoyote
 
Kwani kakuomba umuhurumie?, hauna mama au bibi yako uwahurumie?.
 
Huo ni mtizamo wako ww tikiti maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…