Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

Tofauti yako na konokono ni mazingira tu anayoishi.
 
Uko sahihi
 
Toka uhuru hasara kubwa watanzania tuliipatakwakufiwana magufuli
 
Kwa hiyo kama ni kinyume na mkataba ndio tuendelee kuibiwa Kwa kuwa watangulizi wake waliingia mikataba ya hovyo?
 
Alichokua anakisema LISSU kilitokea hakikutokea??

Hatukulipa Mabilionnya Fedha kwenye Makesi ya kijinga JINGA?.

Haya Wazungu wameendelea kubeba Madini au hawabebi??.


Watu wajinga Huwa mnakuagabna uelewa wa juuuu juu, mnaongea mambo Kwa juuuu.
Kwahiyo Lissu alifanikisha lengo lake la kuifanya Tanzania ilipe mabilioni huko alikowapigania walipwe. Ndo maana wanamlipa fadhila kwa kumpa ukimbizi na kumpigania awe Rais wao.
 
Kwahiyo Lissu alifanikisha lengo lake la kuifanya Tanzania ilipe mabilioni huko alikowapigania walipwe. Ndo maana wanamlipa fadhila kwa kumpa ukimbizi na kumpigania awe Rais wao.
Huo ndio ukweli
 
Aliwateteaje Wazungu, embu nikumbushe aliyewaita wanaume wamekuja baada ya ishu ya makinikia?
 
Lakini aliyosema si yalitokea! Huruma yako baki nayo
 
2.Bwawa la umeme Tundu Lisu aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa Chadema na Nape Nauye aliongoza mashambulizi ya kupinga mradi kwa upande wa ccm.

Je sasa hivi nafsi haziwasuti pale wanapotumia umeme wa SGR?3.
Unachotakiwa kujiuliza kwanza, Je, walipinga kwamba haliwezi kukamilika au walitoa hoja za kutaka mradi usifanyike? Pili, je, vigezo vya kutaka mradi usifanyike vimebadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…