Kila nikitaka kuoa napata hofu, wasiwasi,kutojiamini na uchoyo(Ego)pamoja na kukosa mwanamke bikra

Kila nikitaka kuoa napata hofu, wasiwasi,kutojiamini na uchoyo(Ego)pamoja na kukosa mwanamke bikra

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo nimeshindwa cha kufanya na ukiangalia umri unaenda na nakaribia third floor sasa napata wanawake na wananipenda Sana sasa sijajua wananipendea pesa ama nini

Na lengo langu ni kupata bikra ila nimekosa bikra nimepambana we nimekosa aisee hofu yangu nahofia nikipata asiye bikra nitakuwa nimeoa mke wa mtu sijui nifanyeje aisee

Ila uchoyo na ubinafsi unanisumbua sana aisee
 
8092DCFD-5288-4244-A938-61FB48C2C3B5.jpeg
 
Achana na haya manamake yaliyokubuhu, kazi zao ni kuhangaika na makumi ya wanaume.

Kuwa makini sana!
 
Duh ushauri muje mutoe hapa nami nipo kwenye mtego huu
 
Mkuu siku hizi bikra ni zakutafuta kwa tochi, yani Binti miaka 13 imeshaenda na maji sasa ww kwa age hiyo ya 40 unahitaji Binti wa 20+ yrs mwenye nayo ambapo hapo ni kipengere bw shee
 
Nimeishia kuona haujafika third floor, nikajua bado ni uvulana mdogo wangu nikaishia hapo
 
Back
Top Bottom