Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya niwe na maswali mengi kichwani mwangu.

Kila ninapopanga au kumwambia tutoke pamoja, iwe ni matembezi ya kawaida au kwenda sehemu za burudani, mara nyingi anakataa kuongozana nami.

Wakati mwingine hutoa sababu tofauti tofauti, lakini sababu hizo hazinipi uhakika wa kutosha na huniacha nikiwa na sintofahamu. Nimekuwa nikijaribu kuelewa lakini bado sijapata jibu la moja kwa moja kuhusu tabia hii. Na sijui nifanyaje?

Natamani kupata ufafanuzi ili nijue hatua sahihi ya kuchukua.
 
Polee mm pia sipendagi kutembea na make wangu 😀😀 zaidi ya kwenda nae kanisani,ila mara nyingi naona ni show off ndio kutembea nae,anakuwaga na wenge sana ,mara tushikane my kono,mara nitembee polepole aisee naonaga jau sana ndio maana naona kila mtu atangulie na njian yake.
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya niwe na maswali mengi kichwani mwangu.

Kila ninapopanga au kumwambia tutoke pamoja, iwe ni matembezi ya kawaida au kwenda sehemu za burudani, mara nyingi anakataa kuongozana nami.

Wakati mwingine hutoa sababu tofauti tofauti, lakini sababu hizo hazinipi uhakika wa kutosha na huniacha nikiwa na sintofahamu. Nimekuwa nikijaribu kuelewa lakini bado sijapata jibu la moja kwa moja kuhusu tabia hii. Na sijui nifanyaje?

Natamani kupata ufafanuzi ili nijue hatua sahihi ya kuchukua.
Usijali, leo tutatoka pamoja mpenzi, wahi kurudi tutoke
 
sasa si umuulize yeye mwenyewe unatuuliza sisi wakati anaetakiwa kutoa sababu ni yeye!, alasivyo unataka tutoe majibu yasiyofaa utuone wabaya tukikuambia unasura kama kasongo utavumilia..?
je, tukikuambia unatembea kama ngamia au unamuonekano kama wa bata maji..? mkuu usitutafutie ban maana unaweza kukuta mpenzi wako anampenzi wake hivyo hataki aje aonekane yupo nawewe!..😅
 
Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya niwe na maswali mengi kichwani mwangu.

Kila ninapopanga au kumwambia tutoke pamoja, iwe ni matembezi ya kawaida au kwenda sehemu za burudani, mara nyingi anakataa kuongozana nami.

Wakati mwingine hutoa sababu tofauti tofauti, lakini sababu hizo hazinipi uhakika wa kutosha na huniacha nikiwa na sintofahamu. Nimekuwa nikijaribu kuelewa lakini bado sijapata jibu la moja kwa moja kuhusu tabia hii. Na sijui nifanyaje?

Natamani kupata ufafanuzi ili nijue hatua sahihi ya kuchukua.
Huyo akupendi anakuonea huruma tu bwashee
 
Mwanamke anakua na wanaume wengi siyo kwasababu ya ngono kwa kila mwanaume, ila kila mwanaume ana kazi yake. Tofauti na sisi wanaume, tuna wanawake wengi kwa ajili ya ngono tu.

Mwanamke mwenye wanaume wengi, kila mwanaume ana kazi yake. Kuna wa kumpiga miti mpaka aridhike, kuna wa kumpigisha stori, kuna wa kumhudumia, kuna wa kuuza naye sura (huyu ndiye anayezungumziwa na mleta mada).

Mleta mada, wewe umewekwa kwenye kundi la kumhudumia. Hudumia tu mzee.
 
Back
Top Bottom