Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
We bado nyama zimekaza kabisa, we mpaka uwe mshangazi bas ACT wazalendo wameshakua chama tawala.Umeona utuseme live live sio🥺
We bado nyama zimekaza kabisa, we mpaka uwe mshangazi bas ACT wazalendo wameshakua chama tawala.Umeona utuseme live live sio🥺
Acha kunijaza mkuu😆We bado nyama zimekaza kabisa, we mpaka uwe mshangazi bas ACT wazalendo wameshakua chama tawala.
We chunga tu afya usiachie sana mwili 2050 madogo waliozaliwa 20231 watakua wanakuona kama mdogo wao.Acha kunijaza mkuu😆
20231 sitokuwa hai mkuu😅We chunga tu afya usiachie sana mwili 2050 madogo waliozaliwa 20231 watakua wanakuona kama mdogo wao.
Acha kuita makamanda 'vivulana' ebu ruhusu hilo pazia la hekaluni lipasuke makamanda wakufikie kama hawajakunywesha siki na sifongo usikie raha hadi unyayoni.20231 sitokuwa hai mkuu😅
Mimi ndio mwisho wangu pale huwa sizidi nikipungua nakuwa kadogo! Vivulana huwa vinahisi mie level zao huku nishajizeekea zangu😅
Kabisa.Bora nijikite kwenye uvuvi na kilimo cha mboga mboga.
Ndugu yangu aachane na huyo mwanamke, anajifanya kumpenda.”Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya niwe na maswali mengi kichwani mwangu.
Kila ninapopanga au kumwambia tutoke pamoja, iwe ni matembezi ya kawaida au kwenda sehemu za burudani, mara nyingi anakataa kuongozana nami.
Wakati mwingine hutoa sababu tofauti tofauti, lakini sababu hizo hazinipi uhakika wa kutosha na huniacha nikiwa na sintofahamu. Nimekuwa nikijaribu kuelewa lakini bado sijapata jibu la moja kwa moja kuhusu tabia hii. Na sijui nifanyaje?
Natamani kupata ufafanuzi ili nijue hatua sahihi ya kuchukua.
Shindwaaa!! Sifomgo ndio nini?😅Acha kuita makamanda 'vivulana' ebu ruhusu hilo pazia la hekaluni lipasuke makamanda wakufikie kama hawajakunywesha siki na sifongo usikie raha hadi unyayoni.
Fanya ku'gugu'Shindwaaa!! Sifomgo ndio nini?😅
Una kilo ngapi?Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya niwe na maswali mengi kichwani mwangu.