Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Usijali, leo tutatoka pamoja mpenzi, wahi kurudi tutokeNina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya niwe na maswali mengi kichwani mwangu.
Kila ninapopanga au kumwambia tutoke pamoja, iwe ni matembezi ya kawaida au kwenda sehemu za burudani, mara nyingi anakataa kuongozana nami.
Wakati mwingine hutoa sababu tofauti tofauti, lakini sababu hizo hazinipi uhakika wa kutosha na huniacha nikiwa na sintofahamu. Nimekuwa nikijaribu kuelewa lakini bado sijapata jibu la moja kwa moja kuhusu tabia hii. Na sijui nifanyaje?
Natamani kupata ufafanuzi ili nijue hatua sahihi ya kuchukua.
😅 nampenda mpenzi wangu, natamani yeye ndiyo nitoke naye nikam-spoil 😝Usijali, leo tutatoka pamoja mpenzi, wahi kurudi tutoke
Pesa sio tatizo Chief labda kuna jambo lingine tofaufi ambalo ameshindwa kuwa openHuna hela ndio maana anaogopa kutembea nae asije kosa bahati ya kutongozwa na GSM
😅 kwamba kuna shida ya uumbaji?Mkuu, ebu jiangalie kwenye kioo kwanza...🤣
Labda Chief kwanini akose uhuru kiasi hicho?Labda anaogopa mpenzi wake atamuona, shtuka kijana
Huyo akupendi anakuonea huruma tu bwasheeNina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya niwe na maswali mengi kichwani mwangu.
Kila ninapopanga au kumwambia tutoke pamoja, iwe ni matembezi ya kawaida au kwenda sehemu za burudani, mara nyingi anakataa kuongozana nami.
Wakati mwingine hutoa sababu tofauti tofauti, lakini sababu hizo hazinipi uhakika wa kutosha na huniacha nikiwa na sintofahamu. Nimekuwa nikijaribu kuelewa lakini bado sijapata jibu la moja kwa moja kuhusu tabia hii. Na sijui nifanyaje?
Natamani kupata ufafanuzi ili nijue hatua sahihi ya kuchukua.
huwezi kuwazidi wote hapo mjini,wewe una hela,ila kuna watu wana hela zaid yako comredPesa sio tatizo Chief labda kuna jambo lingine tofaufi ambalo ameshindwa kuwa open