Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

Mwonekano na uvaaji wako ukoje km ww hujipendi nani aongozane na mtu unavaa nguo hata haziendani na ww ukiongee mdomo unanuka kwapa ndo usiseme ukivua soksi inzi wanajaa kwenye kiatu na wanafata miguu ...sasa mwanaume ama mwanamke gani atatamani afuatane na gari taka 🤣🤣🤣
 
Tafuta mtu mwingine wa kuongozana nae. Sio lazima uongozane na huyo mtu.
 
Anza kwa kufikiria maoni ya watu wengine kuhusu wewe

Mavazi, usafi, tembea yako, kauli zako, n.k. kama uliwahi kuambiwa kasoro zako hapa jaribu kuzirekebisha

Wanawake wengi kwenye matembezi wanaoenda uwe mtu unaeweza kupostika mkipigwa picha,
 
Duhh 😅
 
Anaogopa mpenzi wake anaweza kuwaona au kupelekewa taarifa, analinda penzi lake na mpenzi wake.
Utaamua sasa hapo kama usuke au unyoe, mpenzi wako ana mpenzi wake ambaye si wewe.
 
Wewe mdogo wangu ndiyo mimi kabisa! Unapita mulemule! Ila vimwanamke sasa vinavyopenda kujionesha!
 
Mto mada ni jinsia gani ?
 
Hebu weka picha ya sura yako tuitathmini mkuu? Unaweza kuwa ni polygon sasa anaogopa wenzake watamcheka!
 
Hata mimi sitoki naye baada ya fundi viatu kuniambia dah braza unakojolea pazuri nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe.
 
Utamharibia kwa babe wake na hataki kabisa kumpoteza.

Ila babe wake akioa atakukubalia umuoe ila atajitahidi amzalie angalau mtoto mmoja wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…