Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

Endelea kutokuelewa hivyo hivyo mjinga wewe mpaka maji yalowalishe godoro ukiwa usingizini ndo utajua kwamba kuna mafuriko nje,

Je, ni tabia hizo hizo tu unazoziona kwake toka hiyo miaka mi3 ya mahusiano yenu ama kuna tabia zingine ambazo anazifanya mbele yako? Kwanza acha kuwa mpumbavu zinduka na uamke kabisa, hizo ni red flags 🎌 acha kujizima data huyo manzii ni cha wote na anafahamika kila pahala na mko zaidi ya Wanaume 3-4 kwake na kwa miaka yote hiyo mi3 iko namna ambayo amekuwekea mazingira ya wewe kutokujua chochote dhidi yake na inshort bado hujamfahamu ni mwanamke wa aina ipi! Ondoka haraka acha kuchosha watu akili zao
 
We chunga tu afya usiachie sana mwili 2050 madogo waliozaliwa 20231 watakua wanakuona kama mdogo wao.
20231 sitokuwa hai mkuu😅

Mimi ndio mwisho wangu pale huwa sizidi nikipungua nakuwa kadogo! Vivulana huwa vinahisi mie level zao huku nishajizeekea zangu😅
 
20231 sitokuwa hai mkuu😅

Mimi ndio mwisho wangu pale huwa sizidi nikipungua nakuwa kadogo! Vivulana huwa vinahisi mie level zao huku nishajizeekea zangu😅
Acha kuita makamanda 'vivulana' ebu ruhusu hilo pazia la hekaluni lipasuke makamanda wakufikie kama hawajakunywesha siki na sifongo usikie raha hadi unyayoni.
 
Ndugu yangu aachane na huyo mwanamke, anajifanya kumpenda.”
 
1. Fanya mazoezi mwili ukae standard
Kama unakitambi hakikisha kinakuwa kitambi standard Chenye mvuto. Usionekane mzito au mzembe.

2. Vaa nguo zenye kuvutia na kukaa haswa uonekane mtanashati.
Usivae mabwanga wala usivae vinavyobana

3. Nyoa vizuri kulingana na umri na kichws chako.

,4. Ukitembea tembea kwa kujiamini.
Kichwa mbele, mabega nyuma kidogo. Kiukakamavu.
Usitembee kizembe zembe.

6. Usibabaike unapotembea.

7. Paka mafuta mazuri uwe na nuru. Huku ukizangatia kupumzika kwa wakati, maji na lishe Bora.
 
Una kilo ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…