MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nikiendaga home huwa napata shida sana kwasababu mama huwa anazingatia milo mitatu. Breakfast, lunch & super. Halafu kama unavyojua mtoto kwa mama hakui kwahiyo lazima ahakikishe hiyo breakfast umekula. Mimi huwa ninamkwepa kwenye lunch. Nikiwa home nakutana nae kwenye msosi mara 2. Nikiwa kwangu huwa sina breakfast. Ikitokea nimekula breakfast ina maana Lunch hakuna. Usiku tu ndo huwa constant lazima nileKwa studies zilizopo kwa sasa zina sema breakfast sio mlo muhimu , hivyo una weza mua kuanza kula saa sita au saa tano, baada ya hapo kule tena baada ya masaa nane, kama utataka fanya intermittent fasting , kula mara mbili ni bora zaidi.
Madingi hapa ndio nawakubaligi,yani kama haujala chakuls utahojiwa vipi uko sawa,una mawazo,una shida gani mbona hulii,mpaka unaona bora ule tu.😄Nikiendaga home huwa napata shida sana kwasababu mama huwa anazingatia milo mitatu. Breakfast, lunch & super. Halafu kama unavyojua mtoto kwa mama hakui kwahiyo lazima ahakikishe hiyo breakfast umekula. Mimi huwa ninamkwepa kwenye lunch. Nikiwa home nakutana nae kwenye msosi mara 2. Nikiwa kwangu huwa sina breakfast. Ikitokea nimekula breakfast ina maana Lunch hakuna. Usiku tu ndo huwa constant lazima nile
Vyakula vyote muhimu,unatakiwa ujue blood group yako na unatakiwa kula nini kutokana na blood groupMwezi wa pili uzito umegoma kupungua, baada kupungua kilo nane mwezi wakwanza wakati dieti ni ile ile tatizo ni nini?
Mkuu tena blood group inauhusiano gani na uzito wa mtu, vyakula havitegemea haina ya blood group mimi ninavo jua kama ni wanga ni wanga kwa aina zote za damu.Vyakula vyote muhimu,unatakiwa ujue blood group yako na unatakiwa kula nini kutokana na blood group
Kama hivyoMkuu tena blood group inauhusiano gani na uzito wa mtu, vyakula havitegemea haina ya blood group mimi ninavo jua kama ni wanga ni wanga kwa aina zote za damu.
Kama vile unanisema mimi...daahKwa siku 45 nilikua silii mchana, nakula tu asubuhi chai ya ragi na skonzi moja na yai moja, mchana napiga ndefu, usiku ndio nakula wanga kidogo na chai ndio nalala. Kila siku kabla ya kuoga nafanya pushup 30 na kuruka ruka kidogo kwa lengo la kupunguza kilo, nitoke Kg 94 nirudi Kg 89 za awali kabla ya holiday.
Jana ndio nilienda kupima nione ni mepungua ngapi, to my surprise nimeingia Kg 103! Natimiza hivyo unene ni mwili wa mtu na ni majaliwa na kadari za Mungu. Mke wangu anakula mara mbili yangu milo mitatu hadi minne kwa siku ila anachezea 49kg hadi 55kg ni model kweli kweli ukimuona. Mimi naona nitajiachia tu litakalokuwa na liwe bwana.
Mkuu mimi stumii kulevi chochote kwahiyo naona hiyo sio sababbPamoja na ushauri mwingine, punguza au acha kabisa pombe!
Mkuu na wewe pia una tatizo la uzito kama mimi?Kama vile unanisema mimi...daah
Ndiyo hivyo mkuuMkuu na wewe pia una tatizo la uzito kama mimi?
Siku 30 hazitoshi siku 90 ndio standard baada ya hapo aanze kumaintainAcha wanga na sukari kabisa kwa siku 30
Wewe unasema siku 30 mimi niliacha kwa siku 120, sasa, ila mwili ulipungua kwa kiasi wakagoma kupungua tena..........Acha wanga na sukari kabisa kwa siku 30
Basi mpe beki tatu mimba wife ajueWewe unasema siku 30 mimi niliacha kwa siku 120, sasa, ila mwili ulipungua kwa kiasi wakagoma kupungua tena..........
Mkuu hilo mbona kawaida tu, nilishapata chagamoto zaidi ya hilo ila cha ajabu niliongezeka kishezi lohBasi mpe beki tatu mimba wife ajue
eti anadai anakuloa skonzi mbili na wanga kido usiku nimemshanga sanaaUnakula aina gani ya chakula?
Nyie mnaleta siasa sasa. 😁😁Vyakula vyote muhimu,unatakiwa ujue blood group yako na unatakiwa kula nini kutokana na blood group