Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

Mbona hivyo vichagamoto vya kitoto watu tuna chagamoyo zaidi ya hizo ila hatupungui, kukonda kwasbb ya ngoma ni vijana wasio miliki pesa na mali kuna chagamoto ngoma ni cha mtoto.
Kama tayari ushaukwaa basi zingatia tizi na mazoezi tu, utapungua
 
Inakua je hiyo ielezee tuijua ila isiwe ya yule mchungaji wa kenya kufunga siku 40, ni hatari sana hiyo.
 
piga zoezi la kikimbia huku unakula hivyo hivyo...angalia wakimbia riadha we hujuilizi kwanini hawanenepi??? l,,,,tizi
 
Mkuu unene ni physical sio mental na solution lazima iwe physical sio spiritual, am a student of realism theory sio idealism theory.

Jiwe lolote linalomdondosha mtu sii jiwe kubwa analoliona kwa macho yake.

Kusema kuwa wewe ni mwanafunzi haina maana kuwa wajua kila kitu kwenye field uliyosoma au unayosoma

narudi kwa kukumbia tena

Spiritually
Mentally
Physically

We're only limited by our imagination
 
kijeshi "mwendo wa ling'ang'a" aka "mwendo wa kung'oa visiki" [emoji1549][emoji1549][emoji38]
Yeah lazma kilo zi drop....
Kama anatumia daladala aanze kushuka vituo kadhaa nyuma then amalizoe na mguu..

Ka ana gari apaki mbali na job afu mwendo wa ngaz ghorofan aone
 
Mkuu natamani kufanya kazi za nguvu ili nipungue ila nguvu ndo sina na choka haraka, sijawahi kufanya kazi za nguvu tangu nizaliwe ila na zipenda, ila kuisha vyombo na kupiga deki na weza ila kulima kubeba vitu vizito siwezi, kuna siku niliamua kutegenza njia gari lipite mgongo umeniuma wiki moja.
 
Kama tayari ushaukwaa basi zingatia tizi na mazoezi tu, utapungua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi mzima ila kwa mtazamo wangu naona kutibu saratani na ukapona ni chagamoto kubwa kuliko ukimwi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi mzima ila kwa mtazamo wangu naona kutibu saratani na ukapona ni chagamoto kubwa kuliko ukimwi.
Ukimwi sijamaanisha kuwa nao ndo issue ila nimemaanisha ule muda unasubiri majibu for the first time
 
Ukimwi sijamaanisha kuwa nao ndo issue ila nimemaanisha ule muda unasubiri majibu for the first time
Sawa mkuu nimekuelewa, ila unaweza ukapata pressure ya kupanda badala ya kupungua mwili, lazima uangalie pia hilo.
 
mkuu, kuosha vyombo na kudeki! ahahah[emoji38]

ati mgongo uliuma wiki nzima[emoji38][emoji38]

hakikisha kila chakula unanyunyizia maji ya lemao kila siku! ukisahau kuja kunishukuru wala usihofu !!
 
mkuu, kuosha vyombo na kudeki! ahahah[emoji38]

ati mgongo uliuma wiki nzima[emoji38][emoji38]

hakikisha kila chakula unanyunyizia maji ya lemao kila siku! ukisahau kuja kunishukuru wala usihofu !![emoji8]
Mgongo uliniuma siku ya kulima njia ili tupitishe gari mvua zilileta mchanga na tope likaziba hiyo njia yetu, nilitumia kama 45min kuweka njia, kesho yake mgongo uliniuma mpaka basi, sio kuonsha viombo na kudeki tu.
 
Tumia chai ya mdarasini kabla ya kula chochote asubuhi chai hiyo iwe ya moto usiweke sukari;; hrf jion ukisha kula pumzika 30 min Kisha kunywa Tena chai yako ya mdarasini hapa utaweka kijiko kikubwa Cha chakula asali mbichi na kipande Cha limao! Fanya hivyo ikiwa ni endelevu,, baada ya wiki 3 mpk 4 hakikisha unaanza kuacha kula nyama nyekundu, vitu vyote vye aina ya mafuta anza kupunguza kama sio kuacha kbsaa,, jijengee utaratibu wa mazoez yakitembea Kwa wingi na kuacha kukaa muda mrefu! Tumia sana vitu vya kienyeji yupo mtu alikuwa na kg 120 Sasa hiv anacheza na 78
 
Fanya fasting asubuhi kunywa maji ya uvuguvugu weka limao na tangawizi plus asali, baada ya masaa mawili kula matunda tu, saa Tisa kula ugali au wali kiasi cha ngumi yako na mboga za majani nyingi plus protini. Usiku kunywa maji tu ya viungo baada ya mwezi watu watakusahau mtaani, hii nimefanya Mara nyingi sana japo ni ngumu ila jikaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…